Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

Kumbe eeh bas nilijua ni mwaka 2015
 
sasa kama gadner ana mama kareen kwa nini alihangaika na jide mpaka akaangukia pua kwenye mahusiano ya kindoa na kuishia kwenye mastress?
 
TUANZE NA MIAKA YAO TUJUE UMUHIMU WA NDOA
RUGE KAFA NA MIAKA ....
GARDNER...
EEKIBONDE......
A.CHIFUPA....
DJ NANIII.......

DUH AISEEEE CLOUDS WAMEUMIZWA SANAA JAMAN MPAKA WENGINE WANASEMA ATUJUI HATA ANAEFWATA HUMU NDAN UWIII..
51 the highest,maisha mafupi sana
 
na wote wamekufa na ngoma

thats not a very good list bro

tupunguze unafiki
 
Kwamba hao jamaa walikuwa kataa ndoa? Mbona ni kama vile wote walioa na kuishi na wake zao.

Team kataa ndoa ni porojo tu, wengi hawawezi luwa single hata mwezi mmoja.
Gadna ndoa mbili zilimshinda,Ruge ndio boss wa team kataa ndoa,kibonde alifiwa ba mke hakutoboa mwaka,cha kujifunza ni kuwa ndoa ni muhimu sana
 
 
hii haitoi fact yeye na mkewe wote walikufa kwa ngoma

regardless unawapamba kupita maelezo....
 
sasa kama gadner ana mama kareen kwa nini alihangaika na jide mpaka akaangukia pua kwenye mahusiano ya kindoa na kuishia kwenye mastress?
Tatizo la Gardner nikupenda sana kitonga!

Mama Caren alikua na biashara zake nzuri tu za maduka ya nguo Mwanza,lakini baada ya yule Mother kushuka,Jamaa akampiga chini, akaenda kwa Jay Dee,na ndiyo huko kakutana na stress za maisha hadi akawa mlevi wakupindukia!
Nina kaka yangu, ni rafiki yake sana na Gardiner tumekaa sana na jamaa (G) Garder pale Tripple Seven Dsm,jamaa kwenye bills hakuwa na ushirikiano sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…