Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Na fact ni kwamba kifo ndiyo kilichowatenganisha as per their vows. Ndoa ilikuwa muhimu sana kwao hadi mauti. No kataa ndoa hapohii haitoi fact yeye na mkewe wote walikufa kwa ngoma
regardless unawapamba kupita maelezo....
Kwa hyo babu yako aliekufa kabla ukristo haujaingia afrika yeye hakutimiza kusudi la maisha au sio 😅Kumbe nilikuwa sijui kusudi ndio hilo mkuu😁 nilijua ni kuishi kama kristo au maisha ya kristo kama ambavyo tunaelezwa na mihimili ya imani na dini.
Furaha huonekana bila kulazimisha.Hawakuwa na furaha.Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.
Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy. Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita. Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.
Funzo tulilopata, hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.
Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.
Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.
Bila ndoa hutoboi 50
😂😂 endelea kujibana bana mwisho wa siku funza kibao wanafaidi chini ya ardhiThats on another level shieyt!!!😁
Kwa hyo unamaanisha all africans that died kabla ya ukristo kuja afrika hawakutimiza kilichowaleta duniani?Kumbe nilikuwa sijui kusudi ndio hilo mkuu😁 nilijua ni kuishi kama kristo au maisha ya kristo kama ambavyo tunaelezwa na mihimili ya imani na dini.
Sina maana hio ila currently kwa tafsiri yako hiyo lifestyle inaitwa anasaKwa hyo unamaanisha all africans that died kabla ya ukristo kuja afrika hawakutimiza kilichowaleta duniani?
maji tu jamaniKuna vitu umetumia leo 🤣
Wewe unahamu leo 😁 i've seen that clearly😂😂 endelea kujibana bana mwisho wa siku funza kibao wanafaidi chini ya ardhi
duh hapana kwa kweliWewe unahamu leo 😁 i've seen that clearly
Look>>Those who call it anasa they are living a very miserable life,, most of them unakuta anaishi uswahilini manzese chumba kimoja/chumba&seble, ana watoto wengi ambao hawez kuwahudumia (in terms of quality food, clothing, health care, education), they have a lot of debts, they cant afford to pay regular bills,Sina maana hio ila currently kwa tafsiri yako hiyo lifestyle inaitwa anasa
Sema demu ni mkali asee black beauty kabisaMtoto wa Gadner ni mzuri, kataa ndoa oeni.
hakuna cha ajabu hapo dada Heaven..wote walikua wagonjwa,kaanza wa kwanza kwenda wa pili ni lazima afate right awayNa fact ni kwamba kifo ndiyo kilichowatenganisha as per their vows. Ndoa ilikuwa muhimu sana kwao hadi mauti. No kataa ndoa hapo
Hapa nimekuelewa mkuu 👏Bila ndoa hutoboi 50
😂Hata gadner alimuoa lady jay dee
Ruge alikuwa anaishi n zamaradi badae wakaachana sababu ya nandy na akataka kumchumbiq nandy
Kataa ndoa mbona sioni hapo
I know a lot of people ambao wanatumia "dozi" na wamefanikiwa kuishi miaka mingi tu. Na ukiwa muathirika haimaanishi kwamba ukifa tu basi ndiyo HIV imekuua.hakuna cha ajabu hapo dada Heaven..wote walikua wagonjwa,kaanza wa kwanza kwenda wa pili ni lazima afate right away
Hakuna sijui cha vows,sijui anampenda sana and other story za kufikirika.....mortality imewakuta kaanza mmoja huyu mwingine hatachukua round
Ndoa na blah blah zingine ni imaginary tu,hakuna anejua zaidi ya mioyo yao binafsi,na since ni ukimwi hakuna mwenye afadhali hapo per my guess
Samahani lakini; hivi Gardner alifanikiwa kufunga ndoa na mama Karen au walizaa tu mtoto?Tatizo la Gardner nikupenda sana kitonga!
Mama Caren alikua na biashara zake nzuri tu za maduka ya nguo Mwanza,lakini baada ya yule Mother kushuka,Jamaa akampiga chini, akaenda kwa Jay Dee,na ndiyo huko kakutana na stress za maisha hadi akawa mlevi wakupindukia!
Nina kaka yangu, ni rafiki yake sana na Gardiner tumekaa sana na jamaa (G) Garder pale Tripple Seven Dsm,jamaa kwenye bills hakuwa na ushirikiano sana!
Walizaa tu mtoto,ndiyo maana alifunga na Jay Dee, na baada ya ndoa na Jay De kufa,hakuweza tena kufunga ndoa,and now Jay De yuko huru kufunga ndoa sasaSamahani lakini; hivi Gardner alifanikiwa kufunga ndoa na mama Karen au walizaa tu mtoto?
Ooh nashukuru sana. Maana nilikuwa nahisi kama hawakufunga ndoa; sasa comments za waja zinadai ni kama walifungaWalizaa tu mtoto,ndiyo maana alifunga na Jay Dee, na baada ya ndoa na Jay De kufa,hakuweza tena kufunga ndoa,and now Jay De yuko huru kufunga ndoa sasa