Uko sahihiI know a lot of people ambao wanatumia "dozi" na wamefanikiwa kuishi miaka mingi tu. Na ukiwa muathirika haimaanishi kwamba ukifa tu basi ndiyo HIV imekuua.
Kwa umri wangu huu niliyofanikiwa kuishi; nimekuja kugundua kitu kimoja (majority cases). Baba anapata nguvu kwa mama/mkewe; na mke anapata nguvu kwa watoto wake. Kwa mume na mke ambao kweli wameshibana; akitangulia mke; mume anakuwa kwenye hali tete sana. Na mke/mama akifiwa hata na mtoto mmoja; anaweza akapotea mazima hata kama mume yupo na watoto wengine wapo pia.
What did you expect kwa kijana aliyekulia ugosini?😂 Thats a norm to them.Tatizo la Gardner nikupenda sana kitonga!
Mama Caren alikua na biashara zake nzuri tu za maduka ya nguo Mwanza,lakini baada ya yule Mother kushuka,Jamaa akampiga chini, akaenda kwa Jay Dee,na ndiyo huko kakutana na stress za maisha hadi akawa mlevi wakupindukia!
Nina kaka yangu, ni rafiki yake sana na Gardiner tumekaa sana na jamaa (G) Garder pale Tripple Seven Dsm,jamaa kwenye bills hakuwa na ushirikiano sana!
Dah ina maana mmekunywa nae sana vijiweni eeh.Sana aiseee! Bills zikija! Jamaa anaanza story za hapa na pale! Tumuombee pumziko jema tu
Kibonde na mke wake wote walikuwa wameunguaKibonde alikua na mke. Walikua wanakaa external Dar.
alifaidi sana watoto wa chuo, alikuwa k1t0mb1 hatariKibonde
Mmh kwa hiyo walipeana talaka na mama Karen ndiyo akaenda kufunga ndoa na Jide au?Walifunga ya kanisani na mama Karen,wakafunga ya serikalini na Jay Dee
Hii sina taarifa yake!Walifunga ya kanisani na mama Karen,wakafunga ya serikalini na Jay Dee
Dah ina maana mmekunywa nae sana vijiweni eeh.
Duuh conclusion yako imetokana na sample na watu watatuNimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.
Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy. Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita. Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.
Funzo tulilopata, hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.
Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.
Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.
Bila ndoa hutoboi 50
NimekuelewaI know a lot of people ambao wanatumia "dozi" na wamefanikiwa kuishi miaka mingi tu. Na ukiwa muathirika haimaanishi kwamba ukifa tu basi ndiyo HIV imekuua.
Kwa umri wangu huu niliyofanikiwa kuishi; nimekuja kugundua kitu kimoja (majority cases). Baba anapata nguvu kwa mama/mkewe; na mke anapata nguvu kwa watoto wake. Kwa mume na mke ambao kweli wameshibana; akitangulia mke; mume anakuwa kwenye hali tete sana. Na mke/mama akifiwa hata na mtoto mmoja; anaweza akapotea mazima hata kama mume yupo na watoto wengine wapo pia.
Alianza kufa mke = ilianza kufa ndoa@cuopleUkiwa kilaza huwrzi kuelewa moral of tbe stoty.mke wa kibonde alishakufa mwaka mkoja kabla,chs kujifunza ni kuwa ukiwa bachelot utakufa mapema
Ooh wao sio mifano mizuri ya ndoa maybe; but haimaanishi kuwa ndoa ni kitu kibaya. Na Kila mtu ana deal breaker yake. Kama walikoseana hadi kupeana Ukimwi lakini wakaamua kusameheana; good for them. Wapo watu wengi tu ambao wana ndoa nzuri na sio kwamba ni 2 perfect people; as long as wao wanasameheana na kuchukuliana; how are we to judge? Ndoa sio lazima; lakini ni ya muhimu sana.Nimekuelewa
Wewe shida yako ni ndoa kama ndoa
Ni sawa,ila haimaanishi ilikua ndoa mahaba niue,kama ingekua hivyo atleast ukimwi usingekuwepo ndani humo to begin with!
Wote hao akina kibonde sijui ruge sijui habash,etc sio mifano ya maisha kabisa
Mama malezi ktk ubora wakeee!! [emoji122][emoji122][emoji122]Mnapendaga kujustify ujinga. Wote hao hawakuwa kataa ndoa; na katika wote hao hakuna mtu ambaye alii-honor ndoa yake kama Kibonde. Kibonde ambaye baada ya mkewe kufariki alishindwa kukaa kwenye nyumba yake mwenyewe; akawabeba na watoto wake wakahamia kwa wazazi wake sijui. Unaweza ukaimagine kuondoka kwa mkewe kulikuwa na effects gani kwake. Hata wengine walitabiri kuwa Kibonde hataishi muda mrefu kwa sababu alikuwa na very strong bond na marehemu mkewe; na kweli hakukaa sana, likatokea la kutokea. Wewe kataa tu ndoa kwa sababu zako binafsi
Nimekumiss ma mijengeka🤣🤣🤣Mama malezi ktk ubora wakeee!! [emoji122][emoji122][emoji122]
NimekusomaOoh wao sio mifano mizuri ya ndoa maybe; but haimaanishi kuwa ndoa ni kitu kibaya. Na Kila mtu ana deal breaker yake. Kama walikoseana hadi kupeana Ukimwi lakini wakaamua kusameheana; good for them. Wapo watu wengi tu ambao wana ndoa nzuri na sio kwamba ni 2 perfect people; as long as wao wanasameheana na kuchukuliana; how are we to judge? Ndoa sio lazima; lakini ni ya muhimu sana.