Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

Nimekumiss ma mijengeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mama malezii, manjegekaa kwa sasa nafanya kwa ku beep, au nichokozweee!!

G kajua kunitulizaa jamaniiii, yaan u waru waru wotee unapotea huku nauonaaa, ndoa tamuuu.
Achaa niishi humu kwani. Nimekumicc pia mama malezii.
 
Hamna kataa ndoa hapo,ila kama unapendelea kuwa mseja na wewe ni mkristo inaruhusiwa so uko huru..

Biblia inasemaje kuhusu useja?
1 Wakoritho 7:32-38
"Yeyote nayefunga ndoa anafanya vyema,lakini yeyote asiyefunga ndoa atafanya VYEMA zaidi.
Ukiwa mseja,ukaishi maisha ya kumoendeza Mungu utapata wakat mzuri wa kumtumikia yeye bila kuzongwa na majukumu ya ndoa,tatizo la useja mnaoutaka vijana wa siku hizi ni ule wa kufanya umalaya ndio maana unaona siku za kuishi zinakuwa chache Kwa ajili ya lifestyle..
Mwanangu,Tlaatlaah kama utaamua kutooa basi mtumikie Mungu
 
Vingereza vya Nini sasaaa.....
 
Kabisa R.I.P Captain wa Gemu ..

Ilikua ukimkuta Thai village na Whisky zake, story nyingi
Hatari sana! Mimi kuna siku,niliuliza kwa brother,huyu jamaa ni mmoja ya Presenter anayelipwa pesa nyingi Tanzania,mbona yuko hivi?? Maana nilijua labda ana nyumba hata huko Goba au Madale,bother aliniambia achana na maisha ya watu!
 
Hatari sana! Mimi kuna siku,niliuliza kwa brother,huyu jamaa ni mmoja ya Presenter anayelipwa pesa nyingi Tanzania,mbona yuko hivi?? Maana nilijua labda ana nyumba hata huko Goba au Madale,bother aliniambia achana na maisha ya watu!
Heee so kumbe hata nyumba hakuwa nayo?usiniambie alkuwa anapanga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…