Ruge Mutahaba Ni Nani?

Status
Not open for further replies.
kubali arifu comment ulioweka pumba wahedi......nyie ndio wale mnaoshinda saluni kusugua uso kinondoni
 
kubali arifu comment ulioweka pumba wahedi......nyie ndio wale mnaoshinda saluni kusugua uso kinondoni
Sikiliza wewe pimbi, mtu mshamba ni mshamba tu au Ruge ni shemeji yako? na hao unasema wanasuguwa uso si wewe unaowalipia wanatumia pesa zao, wacha liuso lako likomae uwe pacha wa Wasira, tena asante kwa kunikumbusha kesho moja ya ratiba zangu ni kushave na kufanya scrub.
 
alimpaga rafiki wa mdogo wangu mimba nikaenda kumtoa haraka sana sasa akazaa nasikia kazaa na dansa wa Ray C anaitwa K pia kazaa na Zamaradi ma.laya sana Ruge Yeye na Kusaga wanachaangia wanawake halafu anatumia dozi

Kwani ulikua hujui kuwa anatumia Dozi? Waulize wasanii wa Bongo flavor watakupeni habari zake.
 
Ruge ruge kusaga kusaga wenyewe wanapiga tu hella sisi keyboard tufanye kazi mazee
 

hio red ndio ushamba sasa!!!!
 
Na kuwaambukiza watoto Ngoma kwa Makusudi...
 
Nyie chongeni tu, wenzenu wanazidi kuvuta mkwanja
 
Wakuu nimekuwa nikimsikia kila mara Ruge na timu yake wakifundisha kuhusu fursa. Basi nimejikuta nashawishika kujua biashara alizonazo hapa mjini ukiondoa kuajiriwa Clouds Media Group .
Naamini humu kuna watu wake wa karibu au ambao kawajiri watanijuza .
 
Kamuulize JD..
 
Lengo langu ni kuujua ukweli hapa na si vinginevyo
hata huko waweza ujua pia... au fika katika taasisi za serikali... au peleka ombi maalum mahakamani... utayajua vizuri mkuu na kama ataidanganya mahakama atakutwa na mkono wa sheria...

hapa utapata umbea usio na ushaidi... kama lengo lako ni kuwa mbea... endelea kusubiria meli ukiwa morogoro
 
Unanipa kazi isiyo na malipo mkuu.. Bora hata huo umbea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…