Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
labda alikuwa anamaanisha Gerald HandoMbona Arnold Kayanda mda mrefu hasikiki clouds fm? Hebu fafanua anatumikaje hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda alikuwa anamaanisha Gerald HandoMbona Arnold Kayanda mda mrefu hasikiki clouds fm? Hebu fafanua anatumikaje hapo?
kubali arifu comment ulioweka pumba wahedi......nyie ndio wale mnaoshinda saluni kusugua uso kinondoniMshamba ni mshamba tu fedha inanoga unapojuwa kupiga pamba, anapitwa na Jakaya Kikwete ambaye ni mzee na anapigiria Pamba za ukweli. hapa huwezi kuubadili ukweli kwamba jamaa ni mshamba na hajui kuvaa na siyo picha hii tu picha nyingi namuona yupo kirugaruga tu.
Ana pesa hizo ni zake na hakuna anayebisha sasa sijui wewe unawashwa nini!! Huyu ni Celeb na lazima achambuliwe kama upendi chapa lapa kuwadi wewe.
Na swali lako rekebisha niulize ninavyokwendaga Marekani huwa narudi na nguo tu?
Sikiliza wewe pimbi, mtu mshamba ni mshamba tu au Ruge ni shemeji yako? na hao unasema wanasuguwa uso si wewe unaowalipia wanatumia pesa zao, wacha liuso lako likomae uwe pacha wa Wasira, tena asante kwa kunikumbusha kesho moja ya ratiba zangu ni kushave na kufanya scrub.kubali arifu comment ulioweka pumba wahedi......nyie ndio wale mnaoshinda saluni kusugua uso kinondoni
alimpaga rafiki wa mdogo wangu mimba nikaenda kumtoa haraka sana sasa akazaa nasikia kazaa na dansa wa Ray C anaitwa K pia kazaa na Zamaradi ma.laya sana Ruge Yeye na Kusaga wanachaangia wanawake halafu anatumia dozi
Mshamba ni mshamba tu fedha inanoga unapojuwa kupiga pamba, anapitwa na Jakaya Kikwete ambaye ni mzee na anapigiria Pamba za ukweli. hapa huwezi kuubadili ukweli kwamba jamaa ni mshamba na hajui kuvaa na siyo picha hii tu picha nyingi namuona yupo kirugaruga tu.
Ana pesa hizo ni zake na hakuna anayebisha sasa sijui wewe unawashwa nini!! Huyu ni Celeb na lazima achambuliwe kama upendi chapa lapa kuwadi wewe.
Na swali lako rekebisha niulize ninavyokwendaga Marekani huwa narudi na nguo tu?
Kamuulize JD..Wakuu nimekuwa nikimsikia kila mara Ruge na timu yake wakifundisha kuhusu fursa. Basi nimejikuta nashawishika kujua biashara alizonazo hapa mjini ukiondoa kuajiriwa Clouds Media Group .
Naamini humu kuna watu wake wa karibu au ambao kawajiri watanijuza .
Sina mawasiliano naeKamuulize JD..
Basi utamjua hapa hapaMimi Ruge simjui
fika offisini kwaoSina mawasiliano nae
Lengo langu ni kuujua ukweli hapa na si vinginevyofika offisini kwao
hata huko waweza ujua pia... au fika katika taasisi za serikali... au peleka ombi maalum mahakamani... utayajua vizuri mkuu na kama ataidanganya mahakama atakutwa na mkono wa sheria...Lengo langu ni kuujua ukweli hapa na si vinginevyo
Unanipa kazi isiyo na malipo mkuu.. Bora hata huo umbeahata huko waweza ujua pia... au fika katika taasisi za serikali... au peleka ombi maalum mahakamani... utayajua vizuri mkuu na kama ataidanganya mahakama atakutwa na mkono wa sheria...
hapa utapata umbea usio na ushaidi... kama lengo lako ni kuwa mbea... endelea kusubiria meli ukiwa morogoro
Wapo sema wanatumia fake IDmuulize diva au bonge,
Waje hapa