Ruge Mutahaba Ni Nani?

Ruge Mutahaba Ni Nani?

Status
Not open for further replies.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Jamani, tumechoka kumsikia Ruge Mutahaba kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo. Kuanzania Malaria NO More, hadi Sakata la Lady JayDee. Ruge anatuhumiwa kuwa kiongozi katika kuziba rizki na maslahi za wasanii. Ruge huyo huyo anahusishwa na kashfa nyingi sana hasa za unyonyaji katika Tasnia ya Muziki na sanaa kwa ujumla. Joseph Kusaga naye hawezi kubaki nyuma ya Ruge kwenye hizi tuhuma.

Kusaga na Ruge wanatuhumiwa kutumia chombo chao za habari (Redio-Clouds) vibaya kwa maslahi yao na CCM, wakimtumia Ephrahim Kibonde na Arnold Kayanda, ambo ni waropokaji wakubwa

Siyo malamiko kutoka kw amtu mmoja, bali kwa watu wengi sana ambao kwa siku za nyuma waliongozwa na Mbunge Mh. Joseph Mbilinyi. Tafadhalini watanzania wenzangu mnaomfahamu Ruge, mtujuze, ni vipi Ruge amekuwa akiwanyonya wasanii
ruge%2Bna%2Bzama.JPG

Mbona Arnold Kayanda mda mrefu hasikiki clouds fm? Hebu fafanua anatumikaje hapo?
 
Hivi huyu jamaa ndo kamzalisha huyu binti???manake naonaga picha ya kale katoto kule instagram,si haba,wanafanana kidogo!!!
ruge%2Bna%2Bzama.JPG
 
Jamani, tumechoka kumsikia Ruge Mutahaba kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo. Kuanzania Malaria NO More, hadi Sakata la Lady JayDee. Ruge anatuhumiwa kuwa kiongozi katika kuziba rizki na maslahi za wasanii. Ruge huyo huyo anahusishwa na kashfa nyingi sana hasa za unyonyaji katika Tasnia ya Muziki na sanaa kwa ujumla. Joseph Kusaga naye hawezi kubaki nyuma ya Ruge kwenye hizi tuhuma.

Kusaga na Ruge wanatuhumiwa kutumia chombo chao za habari (Redio-Clouds) vibaya kwa maslahi yao na CCM, wakimtumia Ephrahim Kibonde na Arnold Kayanda, ambo ni waropokaji wakubwa

Siyo malamiko kutoka kw amtu mmoja, bali kwa watu wengi sana ambao kwa siku za nyuma waliongozwa na Mbunge Mh. Joseph Mbilinyi. Tafadhalini watanzania wenzangu mnaomfahamu Ruge, mtujuze, ni vipi Ruge amekuwa akiwanyonya wasanii
ruge%2Bna%2Bzama.JPG

kama Ruge anafanya kitu chochote illegal mpelekeni mahakamani.....vinginevyo ni chuki binafsi tu.....
 
Yaani huyu jamaa kukaa kote Marekani ndio anavaa kirugaruga namna hii!! kweli sasa nimeamini kukaa karibu na Mahakama siyo kujuwa sheria.

Hili shati halina tofauti na sare za waimba kwaya wa kanisani.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Yaani huyu jamaa kukaa kote Marekani ndio anavaa kirugaruga namna hii!! kweli sasa nimeamini kukaa karibu na Mahakama siyo kujuwa sheria.

Hili shati halina tofauti na sare za waimba kwaya wa kanisani.

watu kama wewe mkienda marekani ndio mnarudi na nguo tu....Ruge hakwenda marekani kujifunza kuvaa.....alichokifuata karudi nacho ndio maana yuko hapo alipo......piganeni na maisha vijana acheni majungu.....ruge mara kusaga mara clouds....wenzenu wamehussle now they're multi-millionaires....when i say millionaires,i mean millionaires in $$$$
 
Mshamba ni mshamba tu fedha inanoga unapojuwa kupiga pamba, anapitwa na Jakaya Kikwete ambaye ni mzee na anapigiria Pamba za ukweli. hapa huwezi kuubadili ukweli kwamba jamaa ni mshamba na hajui kuvaa na siyo picha hii tu picha nyingi namuona yupo kirugaruga tu.

Ana pesa hizo ni zake na hakuna anayebisha sasa sijui wewe unawashwa nini!! Huyu ni Celeb na lazima achambuliwe kama upendi chapa lapa kuwadi wewe.

Na swali lako rekebisha niulize ninavyokwendaga Marekani huwa narudi na nguo tu?
 
alimpaga rafiki wa mdogo wangu mimba nikaenda kumtoa haraka sana sasa akazaa nasikia kazaa na dansa wa Ray C anaitwa K pia kazaa na Zamaradi ma.laya sana Ruge Yeye na Kusaga wanachaangia wanawake halafu anatumia dozi
 
Mkuu punguza jazba kidogo najua inauma,lakini dah!!.
 
alimpaga rafiki wa mdogo wangu mimba nikaenda kumtoa haraka sana sasa akazaa nasikia kazaa na dansa wa Ray C anaitwa K pia kazaa na Zamaradi ma.laya sana Ruge Yeye na Kusaga wanachaangia wanawake halafu anatumia dozi
Kwani huwa anawabaka au wanapanuwa wenyewe?
 
anawadanganya na hela jamaa ana roho mbaya na ili ufanikiwe THT lazima uwe mpenzi wake Mwasiti alijitoa THT sababu wimbo wake boss ruge alimpa demu wake linah aimbe mwasiti akakasirika

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, hivi nyinyi siku hizi vikojoleo vyenu mnampa mtu mchovu? sioni tatizo la Ruge kwenye alimradi hawabaki basi ni makubaliano maalum na wanavuwa chupi wenyewe. Haya ndio madhara ya kupenda maisha rahisi.
 
Acheni wivu wa kike enyi watanzania.
 
anawadanganya na hela jamaa ana roho mbaya na ili ufanikiwe THT lazima uwe mpenzi wake Mwasiti alijitoa THT sababu wimbo wake boss ruge alimpa demu wake linah aimbe mwasiti akakasirika

Mwasiti mbona bado yupo THT?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom