Ruge na Makonda wanapataneje na vipi nyasi zilizoumia?

Mleta mada unashangaa nini?! Kwani hujui kuwa mpatanishi mkubwa wa vita kati ya Israel na Palestine ni USA?!
Na unajua fika jinsi USA na Israel zinavyowiva..! But ndo hivyo USA ipo katikati ikijinasibu kama msuluhishi wa ugonvi huu wenye zaidi ya miaka 50!

Ukiangalia mzozo huu wa Palestine na Israel umeisha?! Jibu ni hapana...! Sasa kwann mzozo kati ya Ruge (CMG) na Paul Makonda uishe..?!

Akili kumkichwa..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe inawauma sana mpaka wamekaa kupanga mpango hiyo!!!!!! Ruge ni mtoto wa mjini na namuomba azidi kubanaaaaaaaa mpaka mtu atupe matokeo.
 
ruge akikbubari kifala fala hivi, sitizami tena runinga yao mimi spendagi ujina kbsa!

sasa usipoangalia TV yake yeye anaathirika nini? humu nina unatumia feki,TV hauangalii, hata ukifa wala hawatajua

kinachokuumiza ni chuki
 

unahitaji uponyaji

TV ya Ruge ni ya binafsi, ugomvi wake na makonda ni wake na wao wanajuana. Makonda ni mwenyeji wa clouds, alikuwa anashinda pale anakula pale na kupiga story pale...swala la kuvamiwa mlivyolibeba kishabiki ndo aibu hizi


sasa mkuu unaandika nakala ndeeeefu, kana kwamba ugomvi ule unakuhusu !!!!


umejaa chuki,roho mbaya na una gubu....unakomaa kwenye keyboard eti unataka maelezo! mwenye TV kapanda pale na wameshikana mkono na alichofanya Magu ni ubaba/Fatherly action....wala sio eti aseme tatizo nini,

wewe ni nani nchi hii mpaka una demand maelezo, wenzako wanaoona aibu kama wewe wako kimya!
 
Kama account Ile ya Instagram ni ya Nape basi hata nusu kaputi haiwezi kusaidia kutuliza maumivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli Nape anaugulia maumivu yasiyoelezeka mkuu,hadi wakati mwingine namuhurumia kwasababu alikuwa upande wa haki wakati huo!

Lakini leo imeendelea imedhihirika wazi media zilipaswa kumsusia nani.

Kumsusa RC ni ile tu baba amekuudhi basi kwakuwa huwezi kumpiga baba unaenda kumtwanga mdogo wako!
 
Katika huu upatamishi Nape alitakiwa awepo
 
Mkuu, wakati mwingine jitahidi kuweka mahaba yako kando ili kuuficha ujinga wako.

Hili swala lilikuwa ni kawaida kabisa kubebwa kwa uzito huo maana halikuwahi kutokea Tanzania na waliolibeba walifanya hivyo katika kutetea uhuru wa habari na wanahabari kwa ujumla..

Tv kuwa ya Ruge hakuwafanyi watu wakae kimya wasipaze sauti pale uhuru wa habari na wanahabari unapoingiliwa maana ile media nzima hafanyi kazi Ruge peke yake

Na kikubwa zaidi ni kwamba leo wote mliokuwa mnabeza lile tukio na kujificha nyuma ya vita dhidi ya bange mmevuliwa nguo rasmi na kwa aibu mnapaswa mjifiche na msionekane, JPM kutaka Ruge amsamehe RC ni kwamba ametambua ukubwa wa kosa alilofanya RC.

Kuombewa msamaha na rais sio kitu kidogo na wala hauombewi kwa kufanya kitu kidogo!
 
Makonda hana sifa za ukuu wa mkoa wa Dar. Namiss Ditopile sasa
 
naapa sijawahi kumuelewa huyu dada

be___blessed
 
huu ugomvi ulishakua solved, pale kwa stage ni kuonyesha tu watanzania kinachoendelea

be___blessed
 
History is a very good teacher "once a zero brain always a zero brain" Nimechoka aibu sana kudhani upo upatanishi hapo. Haupo bali ni usipomshika mkono unapimwa mkojo. Basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…