Na yule mwenye pistol anakwenda kushuka na mikono na dogo nape? Once a zero brain always zero brainKuna mambo yanachefua kwa jweli kila nikijitahidi kuipenda nchi yangu au uongozi uliopo najikuta najilazimisha tu maana lazina litatokea jambo la ovyo ovyo tu.
Hili suala la mleta hoja linamweka pabaya Ruge na clouds yake na nadganibRuge nibmwakilishi tu pale clouds kuna walioathirika moja kwa moja pale yaani wale vijana sijui Mheshimiwa atampeleka na kule wakashikane mikono (sioni kupatana hapa).
Na nikiibia nukta nyingine ya mleta uzi ,je ina maana na serikali po tayaru kushikana mikononna Bwana Nape? Pia lini makonda atapelekwa kuwashika mikono TEF na wadau wengine?
Naiona clouds ikitengwa kiaina
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app