Ruge na Makonda wanapataneje na vipi nyasi zilizoumia?

Ruge na Makonda wanapataneje na vipi nyasi zilizoumia?

Kuna mambo yanachefua kwa jweli kila nikijitahidi kuipenda nchi yangu au uongozi uliopo najikuta najilazimisha tu maana lazina litatokea jambo la ovyo ovyo tu.
Hili suala la mleta hoja linamweka pabaya Ruge na clouds yake na nadganibRuge nibmwakilishi tu pale clouds kuna walioathirika moja kwa moja pale yaani wale vijana sijui Mheshimiwa atampeleka na kule wakashikane mikono (sioni kupatana hapa).
Na nikiibia nukta nyingine ya mleta uzi ,je ina maana na serikali po tayaru kushikana mikononna Bwana Nape? Pia lini makonda atapelekwa kuwashika mikono TEF na wadau wengine?
Naiona clouds ikitengwa kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yule mwenye pistol anakwenda kushuka na mikono na dogo nape? Once a zero brain always zero brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndo nimeamini Clouds media ina nguvu sana Tz hii. Yaani Efm, Channel 10, Star Tv, n.k washasalimu amri ila kitendo cha Clouds kuendelea kukaza kimemfanya rais aombe poo! Shikamoo mhaya Ruge

Hate me at your own risk
 
Ngoja nipambane na hali yangu, hawa wenye pesa watanivuruga tu

Sent From Ikulu-Magogoni street
Kweli kabisa mkuu MANGI.
Njoo tufungue Uzi wetu wa kuzungumzia bei na ubora wa nyama ya ng'ombe. Maana bei imeshuka sanaaaa

Watoto wa Kiswahili ukijumlisha na siasa zinazidi kufanya watu kuwa masikini sana
 
There is a lot going on behind the curtains...

Everything happens for a reason, nothing happens from no where...

Cc: mahondaw
 
Kwani Sugu alipoamua kumaliza tofauti zao na Ruge je wale wengine walienda wapi
 
Ni wazi kuwa mkurugenz wa clouds media ameangalia mbali kutafuta njia ya kumaliza mgogoro na mtt wa kuaminiwa na mkuu bw makonda

Fiesta ndio chanzo kikuu cha mapato cha clouds ndo kinachowafanya wawe ni media inayolipa vizur, ndo kinachowafanya wawakontrooo wasanii watakavyo
Hivyo bas kutokana na mgogoro uliokuwepo wangefanyiwa fitina wakanyimwa kuzunguka kwenye matamasha yao na hii ingepelekea kampuni kushuka sana kimapato

Kwa hiyo ruge kuwepo tanga sio bahat mbaya ameangalia mbali

Sasa mtihani watatumia mbinu gani kuwasaliti wanzao waliosimamao nao wakat wa matatizo

Sisi tuliovimba mishipa kupaaza sauti juu ya tabia mbaya ya makonda kuvamia ofisi na jeshi tutasimama wapi?

If you can't fight them.....join them

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Endeleeni na ujinga wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajuana hao wasiokuwa na kazi za kufanya ndiyo walikuwa wamelishikia kidedea hili suala ili hali tuaambiwa ndugu wakigombana beba jembe kalime
 
Leo hii Mbele ya hadhara mlolongo huu wa matukio unamalizwa kwa kushikana mikono watu wawili yaani Ruge na Makonda? Kweli kabisa bila maelezo yoyote?
Mkuu kwani ulitakaje?mbona umekasirika sana kwa wao kupatanishwa?nenda mahakamani basi kafungue kesi kupinga upatanishi.Ifike mahali kazi ziendelee jamani,hilo sakati limeisha,mmepata uchungu sana lakini ndio hivyo poleni sana
 
Unaujiuliza maswali mengi.. hilo juu nenda polisi au mahakamani kama kuna mafaili au kupata namba za huko.

Hao wengine ndio waone kudandia issue kwa sabbau ya siasa zao wakifikiri walikuwa hawaonwi ndio wajifunze sasa. Sio kuingilia ya watu na kuwasukuma waweke yasiyo na hao TEF kufurahia kisa eti eanashilikiana na yule waziri aliyepita...kumbe wao mambo ya siasa kutaka kumshusha RC..

JPM hawamjui kuwa yupo dakika 5 mbele yao.

Hongera kwa marafiki kwa kushikana mikono leo. Wasipomrusha kutupa habari za Dar kwenye media zao.. basi wanajitakia wao ku...

Ila Makonda mnamoenda jamani leo amekuwa gumzo bab kubwaaaaaaaaa kama kawaida..

Makonda oyeeeeeee

- SAAfi sana salute!

le Mutuz
 
Back
Top Bottom