RUGE: nitatoa tamko kesho

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
458
Reaction score
193
Kitendo cha Adam Mchomvu, Dj Fetty na B12 kupigana studio leo mchana.

Boss wao Ruge Mutahaba ameahidi kutoa tamko kesho.

Source: Millard Ayo
 
Kitendo cha Adam mchomvu , dj fetty na B12 kupigana studio leo mchana. Boss wao Ruge Mutahaba ameahidi kutoa tamko kesho.
Source: millard Ayo

Ruge ndio nani mkuu? Pambano lilikuwa raundi ngapi?
 
huyu jamaa hajasoma human resource management kabisa, we are less concerned na wafanyakazi wake sasa tamko la nini, wahukumiane kwa taratibu za ofisi yao, anatuchosha tu
 

Kumbe wamekung'utana hawa jamaa!!! Nani ameibuka kidedea?

 
Wakuu wengine hatusikilizi hiyo redio so hatujui kilichotokea, mtupe habari kamili SI nusu nusu
 
Ulikuwa ni mpambano wa uzito gani?? Heavy Weight au??
 
Aiseee leo nimeshangaa sana nilipokuwa naskiliza Cloudz XXl, nilijua maigizo kumbe kweli.
 
Wakuu wengine hatusikilizi hiyo redio so hatujui kilichotokea, mtupe habari kamili SI nusu nusu

Mkuu ni hivi, kulikuwa na mabishano fulan yasiyo na tija pale studio, ikapelekea kupigana watangazaji B12 mchomvu na fetty.

Wengne watafafanua zaidi mi mvivu kuandika aiseee
 
yule adam mchomvu ndio abunomo kuliko wote
 
Ngoja tuwache muvi iendelee episode 3 nadhani.
 
Asante mkuu shardcole umenipa mwanga kidogo, wengine hatupo karibu na redio kila Mara na hususan kituo hicho cha redio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…