msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
Nimesikiliza clip ya huo ugomvi wao nmegundua yalikua maigizo tu..
Eti kuna wakati kama glass znavunjika alaf adam analia yani kama anapigwa ngumi..
Alafu mwishoni anakuja mtu eti mpo on air mashkaji mmesahau kuzima mic alafu mchomvu aanhema kwa nguvu..
Dah,wajinga wengi wamepumbazwa hapa