pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Na jinsi tunavyozidi kupost hapa wanajiskia raha Sana wao wanajua Kucheza na Mind za watu so hapa wana wachora tu siamin kama ugomvi unaweza anza kirahisi vile according to ile sound clip
What the ----....!!!!!?????
Sent from my Philips.
Sure hakuna kingine zaidi ya kutaka attention ya watu kwao na pia am sure kuna kitu kitakuwa kinazinduliwa km c kesho basi soon. Keep tuning guyz!