nimewaita muone jamaa sio level yenu sekta zote lol
yaani kutoa tamko unatoa taarifa......
tamko limeshatolewa
tamko limeshatolewa
Limesemaje hilo tamko?
samahani unauliza au ndo unatoa taarifa? mi kuna mtu kanitumia picha kwa watsAp ikionesha studio zilivyoharibika kutokana na fujo hizo, sasa sijui ni kweli studio ya mawingu au changa tu
anasikiliza klauz atuambie leo hicho kipindi kinaongozwa na nani?
kipind kimeongozwa na raymond mshana na dee andy....
dah na alivtopost adam clouds nimeamin
dah na alivtopost adam clouds nimeamin