pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Na jinsi tunavyozidi kupost hapa wanajiskia raha Sana wao wanajua Kucheza na Mind za watu so hapa wana wachora tu siamin kama ugomvi unaweza anza kirahisi vile according to ile sound clip
What the ----....!!!!!?????
Sent from my Philips.
Wakuu wengine hatusikilizi hiyo redio so hatujui kilichotokea, mtupe habari kamili SI nusu nusu
Samahani, Nauliza.... unataka habari zao za nini sasa?
Kwenye nn Twitter au IG?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
amepost nini tena huyo adam