Ruge noma, Wasafi beach part ni yake/yao clouds

Ndiyo mana maisha yanazidi kuwa magumu kwa kuwa na watu kama wewe,

Isikute hapo hata 5000 ya supu huna, huku umekaza shingo kushupalia mambo ya watu!!!
Elfu tano ya supu nyingi hivyo kwani supu ya ngamia? Hata buku jero ya supu utumbo yaweza hana.
 
Naona uwongo umekuzidi uzito mpaka umekuwangusha!hiyo Party imeandaliwa na Wcb wenyewe kwa udhamini wa Vodacom na wala sio Ruge..labda kama kuna deal nyingine inakuja kati ya Clouds na WCB ila sio hili la Wasafi beach party
 
Ikiwa Ni biashara kwanini wasishirikiane...???
 
Naskia hadi kichefu chefu yani nikisikia jina clauz
Watu design yako wanatokea pwani kwa wazaramo

Yaan hapo ulipo naamini huna maendeleo yoyote, sana sana unasubiri kijua cha saa kumi mkutane kibarazani na kuanza kupiga umbea
 
Toka lini maskin kampani yake matajiri
Utaongea kitu gani wakusikilize hata kama ni kizuri
Usitake niamin nawew ni mmoja kati ya wale wanne ambae ni chizi
 
Toka lini maskin kampani yake matajiri
Utaongea kitu gani wakusikilize hata kama ni kizuri
Usitake niamin nawew ni mmoja kati ya wale wanne ambae ni chizi
Fact! Ndiyo maana mkuu nimesema ukikaa na kampani ya maskini utakuwa maskini au ya wanyoa viduku na wewe unakuwa hivyo hivyo

Usitengemee ukae na wanyoa viduku halafu wakupe idea ya kupiga hela sahau
 
Ndio watu washatengeneza fursa endelevu sasa hamna namna.... Wenye nazo wanaendelea kuziongeza wasio mazo tuendelee kuwaongezea.... A sad truth fellas
 
Ruge?! is this you

Wewe ni aina flani ya wale wanafki wa maofisini au mtaani wanaopenda kujadili maisha ya watu kuliko maendeleo yao!!

Mtaa unao kaa hata mwenyekiti wako humjui lakini huku Unataka kumfahamu Ruge!!
 
hata Diamond are forever pale Mlimani city ilikuwa ya Cloud's fm.

Inasemakana....Inasemekana lakini Ruge ndio meneja mkuu wa Dimond.
 
Reactions: ffq
Mbona Le Mutuz yupo karibu na watu wa aina hiyo na hana mbele wala nyuma?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…