Ruge noma, Wasafi beach part ni yake/yao clouds

Ruge noma, Wasafi beach part ni yake/yao clouds

Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini ruge aliwakatalia wasaf classic.
Nilichojifunza inawezekana kweli ruge ni mtu wa fursa na ideas za kumake money.aliwapa idea wasafi ya beach part, akaingia nao dau, sasa wao wamekuwa kama waalikwa.

Wahaya ni vichwa na Ruge ndo the think tank la clouds.

Sasa diamond promo zote zile kumbe unamfanyia promo RUGE.
Big up RUGE
Hiyo ni kweli,nilishangaa watangazaji wa clouds 360 kupata kadi free!Kumbe mkono wa jamaa
 
Mkuu ulishaingia kwenye blog ya wananchi ya le mutuz? unaona yale matangazo unajua analipwa shilingi ngapi? Huo ni mfano tu acha mambo mengine tusiyo yajua

Unawajua marafiki wa JK? Unamfahamu Lungumi? Jamaa historia yake alikuwa ni fundi viatu na mpaka viatu rangi sasa ni mtu yenye pesa

Mifano ipo mingi mkuu
Sijui ila nataka uniambie yale matangazo kwenye blog yake yanamfanya awe milionea?!

na hayo mengine anayofanya ni yepi?

alafu nimezungumzia Le mutuz sio wakina lungumi
 
Hili Jina Ruge limeumiza wasanii wengi mno!!! SUGU,SAIDA KAROLI,RUBY,JIDE........ KWA MASLAHI YAKE BINAFSI, HILI JITU LINA TAMAA NA ROHO YA KWANINI KA FISI!!!
 
Ok
hii ya Dar es salaam inayofanyiwa promosheni na clouds ni ya ruge
Je na ile ya iringa inayofanyiwa promosheni na ebony fm ni ya hao ebony

Hata kama umbea ulioleta wa ruge kushawishi wasafi wasimpokee ruby ktk show yao utakuwa wa kweli,
huo ushahidi mahakaman usingetosha hata robo kuthibitisha show ni ya clouds / ruge
NB Ruge yupo karibu na wenye fursa ile naye apate fursa.......,,,.... yupo karibu na mond
 
Aise kuna redio inaitwa ebony FM 😀😀😀 hivi wanajua maana yake
 
Efm pia wanafanya promo hii Party na wanaziuza Kadi pia,je na wao ndio wenye show?!
 
Nilianza kurihisi hili Clouds huwa haashupalii jambo hivi hivi... Ruge sio mtu wa mchezo mchezo
 
Sijui ila nataka uniambie yale matangazo kwenye blog yake yanamfanya awe milionea?!

na hayo mengine anayofanya ni yepi?

alafu nimezungumzia Le mutuz sio wakina lungumi
Mkuu tufanye umeshinda mimi kampani yangu siyo ya mabishano

Nice day Shekhe!!
 
Watu design yako wanatokea pwani kwa wazaramo

Yaan hapo ulipo naamini huna maendeleo yoyote, sana sana unasubiri kijua cha saa kumi mkutane kibarazani na kuanza kupiga umbea
Huwezi kujadili kitu mpaka utukane kabila za watu wengine?! Ustaarabu ni kitu cha bure.
 
Watu design yako wanatokea pwani kwa wazaramo

Yaan hapo ulipo naamini huna maendeleo yoyote, sana sana unasubiri kijua cha saa kumi mkutane kibarazani na kuanza kupiga umbea
Na kama sio mzaramo si utakuwa umewakosea wazaramo na sio mlengwa unaetaka ujumbe umfikie ?
Mtafutie neno la kuhuzi lingine ambalo kitamgusa kwa namna moja au nyingine na sio kutukana makabila ya watu wengine ambao awahusiki
 
Back
Top Bottom