Ruge noma, Wasafi beach part ni yake/yao clouds

Ruge noma, Wasafi beach part ni yake/yao clouds

Hili Jina Ruge limeumiza wasanii wengi mno!!! SUGU,SAIDA KAROLI,RUBY,JIDE........ KWA MASLAHI YAKE BINAFSI, HILI JITU LINA TAMAA NA ROHO YA KWANINI KA FISI!!!
Simtetei Ruge Lakini Mambo Mengine Mnamsingizia Sana

- Tatizo La Wabongo Wamejaa Sana Lawama, Wanataka Kumfanya Ruge Awe Kama Baba Yao - Yaani baba Yako Azae Halafu Unataka Ruge Akulee. Stupeed

- Ruge Ni Mfanyabiashara Na Siku Zote Mpaka Kiama Anaangalia Faida Ya Kampuni, Sasa Kama Wewe Ni Msanii Unauza Bidhaa Yako ( Wewe Mwenyewe Na Muziki Wako ) Kwa Bei Ya Hasara Kwa Kushindwa Kunegotiate Vizuri, Unamlaumu Vipi Ruge ?

- Ruge Mwenyewe Anasema Diamond Aliwahi Kwenda THT Akakataliwa, Alionekana Hatoshi, Sasa Angekuwa Zee La Lawama Kama The Boss Au Jenerari Ulimwengu, Angelaumu Mpaka Mwisho Wa Dunia
 
Na kama sio mzaramo si utakuwa umewakosea wazaramo na sio mlengwa unaetaka ujumbe umfikie ?
Mtafutie neno la kuhuzi lingine ambalo kitamgusa kwa namna moja au nyingine na sio kutukana makabila ya watu wengine ambao awahusiki
I 'm not racist but my shadow is black!!

Relax!
 
a4b82ad4474179e48e1db80df3ad56e8.jpg
 
Hiyo Party
Iwe chini ya RUGE
Iwe chini ya VODACOM
Iwe chini ya KITI
Iwe chini ya KITANDA

Kwani tatizo lipo wapi?
Wote hao wanatafuta mkwanja..

Mbona watanzania tuna maneno mengi hivyo..
Ndio maana Tunasomeshwa namba na Mheshimiwa tu!
Watanzania tunapenda kubonga sana..!

Tena wewe Jambazi ipo siku utaitwa kibaka..
 
Usipojifunza kula na wengine Kuna siku hutapata hata nafasi ya kunawa.
 
Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini ruge aliwakatalia wasaf classic.
Nilichojifunza inawezekana kweli ruge ni mtu wa fursa na ideas za kumake money.aliwapa idea wasafi ya beach part, akaingia nao dau, sasa wao wamekuwa kama waalikwa.

Wahaya ni vichwa na Ruge ndo the think tank la clouds.

Sasa diamond promo zote zile kumbe unamfanyia promo RUGE.
Big up RUGE
Watu wengine utadhani mmerogwa.show ni ya Diamond kadhaminiwa na VODACOM,ni WCB ndio wenye hati miliki,ruge inawezekana ametumia ukaribu wa kikazi na Diamond kummaliza huyo msanii lakini show sio ya Ruge.
 
Ndiyo mana maisha yanazidi kuwa magumu kwa kuwa na watu kama wewe,

Isikute hapo hata 5000 ya supu huna, huku umekaza shingo kushupalia mambo ya watu!!!
[emoji115] [emoji115] [emoji3] [emoji3] eti umekaza shingo wee mmbayaaa
 
Ruge ana akili sana. Sana sana.

Uchukie , upasuke huyu jama ni kichwa. na good thing ni kwamaba si mbinafsi , anazunguka nchi nzima na kampeni yake ya fursa kuwashtua vijana mwisho wa siku tunakuja ponda huku. GoGo Gooo Ruge.
Comment ya takribani Miaka mitatu ilopita

Apumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom