Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Simtetei Ruge Lakini Mambo Mengine Mnamsingizia SanaHili Jina Ruge limeumiza wasanii wengi mno!!! SUGU,SAIDA KAROLI,RUBY,JIDE........ KWA MASLAHI YAKE BINAFSI, HILI JITU LINA TAMAA NA ROHO YA KWANINI KA FISI!!!
- Tatizo La Wabongo Wamejaa Sana Lawama, Wanataka Kumfanya Ruge Awe Kama Baba Yao - Yaani baba Yako Azae Halafu Unataka Ruge Akulee. Stupeed
- Ruge Ni Mfanyabiashara Na Siku Zote Mpaka Kiama Anaangalia Faida Ya Kampuni, Sasa Kama Wewe Ni Msanii Unauza Bidhaa Yako ( Wewe Mwenyewe Na Muziki Wako ) Kwa Bei Ya Hasara Kwa Kushindwa Kunegotiate Vizuri, Unamlaumu Vipi Ruge ?
- Ruge Mwenyewe Anasema Diamond Aliwahi Kwenda THT Akakataliwa, Alionekana Hatoshi, Sasa Angekuwa Zee La Lawama Kama The Boss Au Jenerari Ulimwengu, Angelaumu Mpaka Mwisho Wa Dunia