Ruge noma, Wasafi beach part ni yake/yao clouds

Hiyo ni kweli,nilishangaa watangazaji wa clouds 360 kupata kadi free!Kumbe mkono wa jamaa
 
Sijui ila nataka uniambie yale matangazo kwenye blog yake yanamfanya awe milionea?!

na hayo mengine anayofanya ni yepi?

alafu nimezungumzia Le mutuz sio wakina lungumi
 
Hili Jina Ruge limeumiza wasanii wengi mno!!! SUGU,SAIDA KAROLI,RUBY,JIDE........ KWA MASLAHI YAKE BINAFSI, HILI JITU LINA TAMAA NA ROHO YA KWANINI KA FISI!!!
 
Ok
hii ya Dar es salaam inayofanyiwa promosheni na clouds ni ya ruge
Je na ile ya iringa inayofanyiwa promosheni na ebony fm ni ya hao ebony

Hata kama umbea ulioleta wa ruge kushawishi wasafi wasimpokee ruby ktk show yao utakuwa wa kweli,
huo ushahidi mahakaman usingetosha hata robo kuthibitisha show ni ya clouds / ruge
NB Ruge yupo karibu na wenye fursa ile naye apate fursa.......,,,.... yupo karibu na mond
 

Aise kuna redio inaitwa ebony FM πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hivi wanajua maana yake
 
Efm pia wanafanya promo hii Party na wanaziuza Kadi pia,je na wao ndio wenye show?!
 
Nilianza kurihisi hili Clouds huwa haashupalii jambo hivi hivi... Ruge sio mtu wa mchezo mchezo
 
Sijui ila nataka uniambie yale matangazo kwenye blog yake yanamfanya awe milionea?!

na hayo mengine anayofanya ni yepi?

alafu nimezungumzia Le mutuz sio wakina lungumi
Mkuu tufanye umeshinda mimi kampani yangu siyo ya mabishano

Nice day Shekhe!!
 
Watu design yako wanatokea pwani kwa wazaramo

Yaan hapo ulipo naamini huna maendeleo yoyote, sana sana unasubiri kijua cha saa kumi mkutane kibarazani na kuanza kupiga umbea
Huwezi kujadili kitu mpaka utukane kabila za watu wengine?! Ustaarabu ni kitu cha bure.
 
Watu design yako wanatokea pwani kwa wazaramo

Yaan hapo ulipo naamini huna maendeleo yoyote, sana sana unasubiri kijua cha saa kumi mkutane kibarazani na kuanza kupiga umbea
Na kama sio mzaramo si utakuwa umewakosea wazaramo na sio mlengwa unaetaka ujumbe umfikie ?
Mtafutie neno la kuhuzi lingine ambalo kitamgusa kwa namna moja au nyingine na sio kutukana makabila ya watu wengine ambao awahusiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…