Ruge: Sugu, Lady Jay Dee waliniumiza kichwa

Ruge: Sugu, Lady Jay Dee waliniumiza kichwa

Ndo maana walikua wanalia eti sugu kawageuka!!

Sugu aliwatumia ili apate mpunga wake wa malaria no more.

Ant virus imeisha na wao hata hawasikiki tena.
matumbo washkaji zako bado wanaprint t_shirt?

Kuna clip moja imewekwa mwezi huu YouTube dully Sykes akiwa kwenye tamasha gani sijui,akawa anamshukuu ruge kwamba ndo aliyemsaidia,show iliandaliwa Dully akaitwa,maana wimbo wake wa julieta ulivuma,akaenda kwenye akiwa na kandambili,alipoitwa na dj Nelly akawa haamini kwamba ndo aliyeimba julieta maana kandambili,mijasho na vumbi,ndo ruge akamwita pale akampa blue mbili akanunue raba,na akamsaidia kimziki,hawa wasanii wengi watakuwa wakijulikana wanawaletea nyodo wanaowatoa kimziki
 
Last edited by a moderator:
Kuna neno kalisema "hawajapata baraka" duuh hili ni neno pana linalohitaji ufafanuzi
 
Kuna clip moja imewekwa mwezi huu YouTube dully Sykes akiwa kwenye tamasha gani sijui,akawa anamshukuu ruge kwamba ndo aliyemsaidia,show iliandaliwa Dully akaitwa,maana wimbo wake wa julieta ulivuma,akaenda kwenye akiwa na kandambili,alipoitwa na dj Nelly akawa haamini kwamba ndo aliyeimba julieta maana kandambili,mijasho na vumbi,ndo ruge akamwita pale akampa blue mbili akanunue raba,na akamsaidia kimziki,hawa wasanii wengi watakuwa wakijulikana wanawaletea nyodo wanaowatoa kimziki

Dully alisikia redioni anaitwa clouds so alienda vile alivyo kwa mapepe sio kwamba hakua na raba!Dully na familia ya Sykes kwa ujumla ni mabitoz kitambo Kabla ya hao mabishoo wa clouds usukariri!uliza
 
Nakubaliana na ishu ya Q chief na lady jay dee ila zingine sizijui sina nafasi ya kumpinga,lakini sikuwa najua kama Magic fm walijitoa ufahamu
 
sasa ubaya uko wapi ktk mashindano ya kutafita ulaji ? Ruge wakimbize tu! anaekubali atabaki ataeshindwa pita kule
 
Ruge ni kama matajiri wengine tu,tabia ya matajiri ni kuingiza faida kubwa bila kujali wanaomfanyia kazi wanaumia kias gani,na akiona unataka kuharibu njia zake za kipesa anaweza hata kukuua,kwahyo ni kawaida hzo mambo kwa matajiri
 
Kwa interview hii Ruge alikuwa mvumilivu na msomi mwenye busara. Pia kila mtu lazima alaumiwe na mtu na wengi ya walalamikaji ni watu walioshindwa au kukosea njia sahihi kuelekea maisha bora huku wakiwaona waliowasaidia kuwa chanzo cha kufeli kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi siyo wasanii tu,uwa wanashindwa kujisimamia katika miradi au shughuli zao mbali mbali.

Mwisho wa siku wanaanza kulalamika , mara hivi mara vile.
 
Alikua master mind
Kuna vilaza wamechotwa akili hapa. Ruge anawapelekesha anapotaka, ila ukweli ni kwamba jamaa ni sumu. Kama umembania ulaji kwako atakubana ushindwe kupumua.
 
Back
Top Bottom