Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Ndo maana walikua wanalia eti sugu kawageuka!!
Sugu aliwatumia ili apate mpunga wake wa malaria no more.
Ant virus imeisha na wao hata hawasikiki tena.
matumbo washkaji zako bado wanaprint t_shirt?
Kuna clip moja imewekwa mwezi huu YouTube dully Sykes akiwa kwenye tamasha gani sijui,akawa anamshukuu ruge kwamba ndo aliyemsaidia,show iliandaliwa Dully akaitwa,maana wimbo wake wa julieta ulivuma,akaenda kwenye akiwa na kandambili,alipoitwa na dj Nelly akawa haamini kwamba ndo aliyeimba julieta maana kandambili,mijasho na vumbi,ndo ruge akamwita pale akampa blue mbili akanunue raba,na akamsaidia kimziki,hawa wasanii wengi watakuwa wakijulikana wanawaletea nyodo wanaowatoa kimziki
Last edited by a moderator: