Mzee hajalipwa na bot...sasa why wamkamate.
Aliyelipwa na bot ni pap. Yeye singa singa kalipwa na pap pesa ya hisa zake.
Kuna majina makubwa yanalindwa yalichota feza za escrow
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine walijidai kuzirudishaKweli CCM ni chama cha kupambana na mafisadi (ila mafisadi wa nje ya CCM tu). Mafisadi wa ndani ya CCM wana kinga maalum. Marufuku kupelekwa mahakamani wala kupelekwa kwenye "KAMATI KUU YA CHAMA" kuwajibishwa.
Wafuasi wa CCM waliopewa hela za "ESCROW" wapo mtaani wanakula bata, wanaendesha ma Land Cruiser VX, na wengine bado wapo bungeni.
Ukiendelea kuniletea ujinga natoa picha zako zile za mwanza trcHahahaaa mtambatiza majina yote......yeye anawanyoosha tu!
Uchaguzi 2015Mzee hajalipwa na bot...sasa why wamkamate.
Aliyelipwa na bot ni pap. Yeye singa singa kalipwa na pap pesa ya hisa zake.
Kuna majina makubwa yanalindwa yalichota feza za escrow
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ampiganie huyu Mzee,ila naona sasa draft limeanza kunoga,wahuni wasije fanya yao ili watu wasipigwe supa!!
Waliorudisha hawakuwa na kosa maana transactions zao zilifanyika electronically, wakati huku kwingine masandarusi yalihusikaWengine walijidai kuzirudisha
In God we Trust
Chonde chonde wasije wakammalizia huko gerezani
Kwa sababu hana cha kupoteza tena ni bora angetaja hayo majina hata akimaliza safari yake duniani either kwa matakwa ya Mungu ama binadamu basi ukweli uwe umejulikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tibaijuka yeye alishasema atarudisha alizitumia kwa kujenga miundombinu ya shule yake
Kikwete Family&.Co
Naona anasakwa mtu hapo, mzee Ruge anajilipua na kuwalipua.
Kuna watu wanalindwa na yeye adhabu za maovu yao kama mbuzi wa kafara tu.
Rugemalira simuombei mabaya zaidi ya hayo yaliyomkuta ila naota umauti ukimkuta kabla kesi yake haijamalizika.
Lakini hii awamu chini ya Jemedari JPM imejimbanaua kupapambana na ufisadi, inakuaje tena bado kuna watu wanalindwa?!Naona anasakwa mtu hapo, mzee Ruge anajilipua na kuwalipua.
Kuna watu wanalindwa na yeye adhabu za maovu yao kama mbuzi wa kafara tu.
Nani analindwa bwashee?Lakini hii awamu chini ya Jemedari JPM imejimbanaua kupapambana na ufisadi, inakuaje tena bado kuna watu wanalindwa?!
Kwa nini alizagawa kama njugu, na kwa nini aliwagawia watu wa serekali na kanisa.Mzee hajalipwa na bot...sasa why wamkamate.
Aliyelipwa na bot ni pap. Yeye singa singa kalipwa na pap pesa ya hisa zake.
Kuna majina makubwa yanalindwa yalichota feza za escrow
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili pepo nalo limetoka wapi?Haya Magamba yanaparuana yenyewe kwa yenyewe,teh teh teh!Nawewe mmbeya umeona hiyo ndiyo news ya kuyolea povu, badala ya kuandika juu ya mafanikio makubwa yanayofanywa na Serikali, umeendekeza udaku, uchochezi, unafiki, ujinga na upumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha waanze kushikana uchawi ili ccm yao ipasuke maana hayati mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya ccmWaliorudisha hawakuwa na kosa maana transactions zao zilifanyika electronically, wakati huku kwingine masandarusi yalihusika
Kwani Ada ikilipwa anachukua nani?Kwamba atapata huruma kula rushwa na kujengea shule?shubaamitiTibaijuka yeye alishasema atarudisha alizitumia kwa kujenga miundombinu ya shule yake