Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Kweli CCM ni chama cha kupambana na mafisadi (ila mafisadi wa nje ya CCM tu). Mafisadi wa ndani ya CCM wana kinga maalum. Marufuku kupelekwa mahakamani wala kupelekwa kwenye "KAMATI KUU YA CHAMA" kuwajibishwa.

Wafuasi wa CCM waliopewa hela za "ESCROW" wapo mtaani wanakula bata, wanaendesha ma Land Cruiser VX, na wengine bado wapo bungeni.
Wengine walijidai kuzirudisha

In God we Trust
 
Mzee hajalipwa na bot...sasa why wamkamate.


Aliyelipwa na bot ni pap. Yeye singa singa kalipwa na pap pesa ya hisa zake.

Kuna majina makubwa yanalindwa yalichota feza za escrow

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini alizagawa kama njugu, na kwa nini aliwagawia watu wa serekali na kanisa.

Jee alikuwa anatafuta kinga ya mkono wa sheria na mbiguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe mmbeya umeona hiyo ndiyo news ya kuyolea povu, badala ya kuandika juu ya mafanikio makubwa yanayofanywa na Serikali, umeendekeza udaku, uchochezi, unafiki, ujinga na upumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili pepo nalo limetoka wapi?Haya Magamba yanaparuana yenyewe kwa yenyewe,teh teh teh!
Gamba moja linamlaumu gamba mwenzake kwa kuleta habari isiyo na taswira nzuri kwa serikali!Hahahaaaaaa
 
Waliorudisha hawakuwa na kosa maana transactions zao zilifanyika electronically, wakati huku kwingine masandarusi yalihusika
Wacha waanze kushikana uchawi ili ccm yao ipasuke maana hayati mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya ccm

In God we Trust
 
Back
Top Bottom