kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.
Fikiria kama anamiliki mfano trillions 3 (ambazo najua anamiliki zaidi ya hizo). Labda Wamemwambia alipe trillion 1.7 hivi. Kwa nini uzing'ang'anie huku ukiendelea kuteseka?.
Kwanza umri umemtupa mkono,hizo atakazobaki nazo pamoja na miradi yake mingine ataishi anakula mpaka kufa,na atawachia wengine. Kwa umri ule ni muda wa kuweka mambo yake sawa. Huku akiondokana na kukwaruzana na mamlaka. Kuna haja gani upende mali kuliko afya yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri kutupa mtu Hai mkono ni nini? Kwa hiyo Hana Umri tena wa kuishi?Huyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.
Fikiria kama anamiliki mfano trillions 3 (ambazo najua anamiliki zaidi ya hizo). Labda Wamemwambia alipe trillion 1.7 hivi. Kwa nini uzing'ang'anie huku ukiendelea kuteseka?.
Kwanza umri umemtupa mkono,hizo atakazobaki nazo pamoja na miradi yake mingine ataishi anakula mpaka kufa,na atawachia wengine. Kwa umri ule ni muda wa kuweka mambo yake sawa. Huku akiondokana na kukwaruzana na mamlaka. Kuna haja gani upende mali kuliko afya yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
He is a good Christian and God Fearing Man.Huyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.
Fikiria kama anamiliki mfano trillions 3 (ambazo najua anamiliki zaidi ya hizo). Labda Wamemwambia alipe trillion 1.7 hivi. Kwa nini uzing'ang'anie huku ukiendelea kuteseka?.
Kwanza umri umemtupa mkono,hizo atakazobaki nazo pamoja na miradi yake mingine ataishi anakula mpaka kufa,na atawachia wengine. Kwa umri ule ni muda wa kuweka mambo yake sawa. Huku akiondokana na kukwaruzana na mamlaka. Kuna haja gani upende mali kuliko afya yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh...! Kwa nyakati hizi kama itampa shida. Mimi sioni haja uadhibiwe kwa kitu ambacho unaweza ukakitatua stroke . Hebu fikiria mfano amevamiwa na majambazi wanataka kumnyang'anya hela,na kweli hela anazo ataamua asiwape apambane nao,hata kama atashindwa kupambana nao,wamuue?Nyepesi nyepesi ni kuwa ameamua kupambana mpaka aone mwisho wake.
Soma vizuri kwa utulivu mkuu,utaelewa. Unalieleweje “umri kumtupa mkono?”Umri kutupa mtu Hai mkono ni nini? Kwa hiyo Hana Umri tena wa kuishi?
Nyepesi nyepesi ni kuwa ameamua kupambana mpaka aone mwisho wake.
Hapa ndio shida ya watanzania ilipo. Hapatatokea tutoke kwenye ukandamizaji kama tutaendelea ku-compromize injustice. Anachofanya Rugemalila ndio kitu sahihi. Na wakilogwa akashinda kesi madai yake yataifilisi nchi. Sheria mbovu na ukandamizaji hauwezi kuondoka bila baadhi ya watu kujitoa muhanga.Huyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.
Fikiria kama anamiliki mfano trillions 3 (ambazo najua anamiliki zaidi ya hizo). Labda Wamemwambia alipe trillion 1.7 hivi. Kwa nini uzing'ang'anie huku ukiendelea kuteseka?.
Kwanza umri umemtupa mkono,hizo atakazobaki nazo pamoja na miradi yake mingine ataishi anakula mpaka kufa,na atawachia wengine. Kwa umri ule ni muda wa kuweka mambo yake sawa. Huku akiondokana na kukwaruzana na mamlaka. Kuna haja gani upende mali kuliko afya yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok basi sawa mkuu. Ameanza sasa baada ya kuwa huko mkuu?. Ingekuwa hivyo kwa nini akakwama kwenye haya masakata?. Hapa unaweza kusema labda ameonewa. Kama utasema hivyo nitakuambiwa hivi hakuna kitu kikubwa kama hicho kikakufuata tu kwa nguvu kama kilivyo from no where bila wewe kuwa kwenye hayo masakata sakata kwa namna yoyote ileHe is a good Christian and God Fearing Man.
Umeamua kujidanganya kitanzania siyo? Hujawahi kuona serikali ikishindwa kesi? Mbona hata hapa Tanzania imeshindwa nyingi tu. Mfano ya gazeti la mwanahalisi ikalipa b3?Haijawahi kutokea raia kushindana na serikali.
Serikali ni mamlaka yenye mapana na marefu.
Hii iko duniani kote.
Mkuuu kwani seke seke la Said Bakheresa na serikali ya Benjamin huikumbuki? Serikali ikalipa gharama kubwa?Umeamua kujidanganya kitanzania siyo? Hujawahi kuona serikali ikishindwa kesi? Mbona hata hapa Tanzania imeshindwa nyingi tu. Mfano ya gazeti la mwanahalisi ikalipa b3?
Ukisema huwezi kushindana na dictators hapo kidoogooo naweza kukuelewa pamoja na kuwa sio kwa asilimia mia. Sababu hata Walijiona juu ya sheria kama bashir sasa wana pingu mikononi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dunia ya sasa ilivyo mkuu,achana kabisa na mambo ya kutegemea haki hapa duniani. Itakuumiza sana. Na tunatafuta hela sio za kulala bank zikusaidie kipindi ambacho zikuwekee sawa kimaisha. Ndio kama hapo yeye. Angepasua mpunga katikati amwage. Ksbb kitu kimoja mkuu kumbuka,kutoa kiasi fulani yeye kukirudusha au kukisalimisha mahala,hakuna atakaekuwa amemkosea au hakuna uhai atakuwa ameuondoa duniani. Zaidi atakuwa amejiweka huru yeye. Kwa nyakati hizi wengi wamefanya hivyo ili wawe salama. Usione wote mamvi na wanarudi kwenye mamboga mboga,usione biriget wa bongo anaendelea kumuvu,alitokewa,akamwaga. Anasavaivo poaHapa ndio shida ya watanzania ilipo. Hapatatokea tutoke kwenye ukandamizaji kama tutaendelea ku-compromize injustice. Anachofanya Rugemalila ndio kitu sahihi. Na wakilogwa akashinda kesi madai yake yataifilisi nchi. Sheria mbovu na ukandamizaji hauwezi kuondoka bila baadhi ya watu kujitoa muhanga.
Namsapoti Ruge 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijawahi kutokea raia kushindana na serikali.
Serikali ni mamlaka yenye mapana na marefu.
Hii iko duniani kote.