Rugemalila atoa notisi kwa taasisi 6 akiomba aondolewe kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi

Rugemalila atoa notisi kwa taasisi 6 akiomba aondolewe kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi

Sio nyepesi ni kaamua kupambana na nyie mafedhuli wakubwa, kama Jakaya Mrisho Kikwete alisema fedha za Escorow sio za umma ni kwa nini Ruge yupo ndani?

Subiria awataje majitu ya ccm yaliyobeba pesa kwenye sandarusi ndio mtatia akili

Japo pia kuna uwezekano kuna wapinzani walipewa hizo hela
Nyepesi nyepesi ni kuwa ameamua kupambana mpaka aone mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio nyepesi ni kaamua kupambana na nyie mafedhuli wakubwa, kama Jakaya Mrisho Kikwete alisema fedha za Escorow sio za umma ni kwa nini Ruge yupo ndani?

Subiria awataje majitu ya ccm yaliyobeba pesa kwenye sandarusi ndio mtatia akili

Japo pia kuna uwezekano kuna wapinzani walipewa hizo hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachanganya vitu

Kuna watu hawakupewa pesa za Escrow walipewa pesa za Rugemalila.Kisheria pesa za Escrow na za Rugemalila ni pesa mbili tofauti sababu Rugemalila Hana chanzo kimoja tu Cha mapato Ana vyanzo vingi Tena vya pesa nyingi

Kujua pesa alizotoa zilikuwa za Escrow au la Ni vigumu

Hata angewataja yeye mwenyewe kuwa hell niliwapa Hawa na Hawa bado uwezo wa yeye kuthibitisha mahakamani kuwa hizo alizowapa zilikuwa pesa za Escrow na sio kutoka miradi mingine itakuwa vigumu kwake

Waliorudisha pesa binafsi sielewi waliorudisha pesa zilizotolewa na Rugemalila toka akaunti yake binafsi au zilitoka kwenye akaunti ya Escrow kwenda kwao ?

Kama zilitoka akaunti ya Escrow kwenda kwao watajwe iwe na benki kuu au na Rugemalila mwenyewe
Ila Kama zilitoka akaunti binafsi ya Rugemalila hata Rugemalila akiwataja kuwa aliwapa itabidi athibitishe Kama hiyo peds aliyotoa kwenye akaunti pesa pekee iliyoingia na iliyokuwemo kwenye hiyo akaunti Ni pesa ya Escrow tu na Hakuna pesa ingine ambayo huingia kwenye hiyo akaunti

Na Hilo sio kazi ya BOT kuwataja Nani walilipwa pesa na Rugemalila kutoka kwenye akaunti yake binafsi
Hiyo Ni kazi ya benki za biashara husika alikoweka hizo akaunti zake kutaja waliowalipa

Sioni sababu Ya BOT kutakiwa kuwataja
 
Huyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.

Fikiria kama anamiliki mfano trillions 3 (ambazo najua anamiliki zaidi ya hizo). Labda Wamemwambia alipe trillion 1.7 hivi. Kwa nini uzing'ang'anie huku ukiendelea kuteseka?.

Kwanza umri umemtupa mkono,hizo atakazobaki nazo pamoja na miradi yake mingine ataishi anakula mpaka kufa,na atawachia wengine. Kwa umri ule ni muda wa kuweka mambo yake sawa. Huku akiondokana na kukwaruzana na mamlaka. Kuna haja gani upende mali kuliko afya yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Big no

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa vizuri uhalisia wa lugha yangu ya kumaanisha umri. Kufa najua yoyote anakufa muda wowote. Kwa hiyo wewe unaona aendelee kuzing'ang'ania hela ingali bado anasoteshwa jera,kwa kitu ambacho anaweza kukitatua?.

Hata kama ana miaka mia 200 tena mbele,hiyo miaka ina maana gani ukiwa kwenye mateso?. Wakati huo huo uwezo wa kuwa huru uko mikononi mwake,ni kiasi kadhaa kiende anakodaiwa,then arudi uraiani akiwa huru aendelee kuishi hiyo miaka yake mia 2,akiwa huru. (Sheria duniani haki mbinguni)

Sent using Jamii Forums mobile app
Aombe samahani kwa kosa ambalo hajafanya.
Huo uhayawani kakataaaaa. Bora afie jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndio shida ya watanzania ilipo. Hapatatokea tutoke kwenye ukandamizaji kama tutaendelea ku-compromize injustice. Anachofanya Rugemalila ndio kitu sahihi. Na wakilogwa akashinda kesi madai yake yataifilisi nchi. Sheria mbovu na ukandamizaji hauwezi kuondoka bila baadhi ya watu kujitoa muhanga.

Namsapoti Ruge 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naye atakuja kuzuia ndege siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upelelezi unaendelea vitu vingine hii nchi ni hatari sana na kama upelelezi bado basi apewe dhamana sasa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Vipi kuhusu Masheikh wa Uamsho?? Au wao tuwaache wakae tu kule kule???
 
kukiri makosa ndio kiama chao...serikali unaushahidi wa wao kukiri kufanya makosa hayo...HACHOMOKI MTU...
 
Na wale waliokula mgao wa escrow wakina chenge na tibaijuka mbona hawajakamatwa?

Sent using Cash Money Wings
Ila vijisenti sijui kawashindia wapi mkuu?. Yule ndio namtamani yule mzee wa vijisenti yule. Yule kila tukio amepiga,yumo. Rada yumo,sijui richmond yumo,sijui escrow yumo. Halafu bado anadunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa vizuri uhalisia wa lugha yangu ya kumaanisha umri. Kufa najua yoyote anakufa muda wowote. Kwa hiyo wewe unaona aendelee kuzing'ang'ania hela ingali bado anasoteshwa jera,kwa kitu ambacho anaweza kukitatua?.

Hata kama ana miaka mia 200 tena mbele,hiyo miaka ina maana gani ukiwa kwenye mateso?. Wakati huo huo uwezo wa kuwa huru uko mikononi mwake,ni kiasi kadhaa kiende anakodaiwa,then arudi uraiani akiwa huru aendelee kuishi hiyo miaka yake mia 2,akiwa huru. (Sheria duniani haki mbinguni)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache mzee akomae kama mandela,mimi naamini anamnyima raha sana mwenyekiti kwa kutokutoa hela alizonazo
 
Hujaelewa vizuri uhalisia wa lugha yangu ya kumaanisha umri. Kufa najua yoyote anakufa muda wowote. Kwa hiyo wewe unaona aendelee kuzing'ang'ania hela ingali bado anasoteshwa jera,kwa kitu ambacho anaweza kukitatua?.

Hata kama ana miaka mia 200 tena mbele,hiyo miaka ina maana gani ukiwa kwenye mateso?. Wakati huo huo uwezo wa kuwa huru uko mikononi mwake,ni kiasi kadhaa kiende anakodaiwa,then arudi uraiani akiwa huru aendelee kuishi hiyo miaka yake mia 2,akiwa huru. (Sheria duniani haki mbinguni)

Sent using Jamii Forums mobile app
"I promised you, Dad,
Not to do the things you've done.
I walk away from trouble when I can.
Now please don't think I'm weak.
I didn't turn the other cheek.
And, Papa, I sure hope you understand:
Sometimes you gotta fight when you're a man."

Everyone considered him
*The coward of the county*
By Kenny Rodgers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.

Fikiria kama anamiliki mfano trillions 3 (ambazo najua anamiliki zaidi ya hizo). Labda Wamemwambia alipe trillion 1.7 hivi. Kwa nini uzing'ang'anie huku ukiendelea kuteseka?.

Kwanza umri umemtupa mkono,hizo atakazobaki nazo pamoja na miradi yake mingine ataishi anakula mpaka kufa,na atawachia wengine. Kwa umri ule ni muda wa kuweka mambo yake sawa. Huku akiondokana na kukwaruzana na mamlaka. Kuna haja gani upende mali kuliko afya yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kinachoendelea kweli?hizi shule duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi wanajianda kumpokea mzee kangi kijiweni kwao...
 
Back
Top Bottom