Nyepesi nyepesi ni kuwa ameamua kupambana mpaka aone mwisho wake.
Haijawahi kutokea raia kushindana na serikali.
Serikali ni mamlaka yenye mapana na marefu.
Hii iko duniani kote.
Kama ni hivyo,Mungu atasimama juu yake na ipo siku mtashangwazwa na mengi pindi atakapo toka gerezani.He is a good Christian and God Fearing Man.
Unachanganya vituSio nyepesi ni kaamua kupambana na nyie mafedhuli wakubwa, kama Jakaya Mrisho Kikwete alisema fedha za Escorow sio za umma ni kwa nini Ruge yupo ndani?
Subiria awataje majitu ya ccm yaliyobeba pesa kwenye sandarusi ndio mtatia akili
Japo pia kuna uwezekano kuna wapinzani walipewa hizo hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Big noHuyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.
Fikiria kama anamiliki mfano trillions 3 (ambazo najua anamiliki zaidi ya hizo). Labda Wamemwambia alipe trillion 1.7 hivi. Kwa nini uzing'ang'anie huku ukiendelea kuteseka?.
Kwanza umri umemtupa mkono,hizo atakazobaki nazo pamoja na miradi yake mingine ataishi anakula mpaka kufa,na atawachia wengine. Kwa umri ule ni muda wa kuweka mambo yake sawa. Huku akiondokana na kukwaruzana na mamlaka. Kuna haja gani upende mali kuliko afya yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aombe samahani kwa kosa ambalo hajafanya.Hujaelewa vizuri uhalisia wa lugha yangu ya kumaanisha umri. Kufa najua yoyote anakufa muda wowote. Kwa hiyo wewe unaona aendelee kuzing'ang'ania hela ingali bado anasoteshwa jera,kwa kitu ambacho anaweza kukitatua?.
Hata kama ana miaka mia 200 tena mbele,hiyo miaka ina maana gani ukiwa kwenye mateso?. Wakati huo huo uwezo wa kuwa huru uko mikononi mwake,ni kiasi kadhaa kiende anakodaiwa,then arudi uraiani akiwa huru aendelee kuishi hiyo miaka yake mia 2,akiwa huru. (Sheria duniani haki mbinguni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Naye atakuja kuzuia ndege siku mojaHapa ndio shida ya watanzania ilipo. Hapatatokea tutoke kwenye ukandamizaji kama tutaendelea ku-compromize injustice. Anachofanya Rugemalila ndio kitu sahihi. Na wakilogwa akashinda kesi madai yake yataifilisi nchi. Sheria mbovu na ukandamizaji hauwezi kuondoka bila baadhi ya watu kujitoa muhanga.
Namsapoti Ruge 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu Masheikh wa Uamsho?? Au wao tuwaache wakae tu kule kule???Upelelezi unaendelea vitu vingine hii nchi ni hatari sana na kama upelelezi bado basi apewe dhamana sasa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndalichako kweli hawaUpelelezi haukamiliki na mahakama imebung'aa tu!
Utawasikia "justice delayed is justice denied"
Ndalichako wakubwa hawa.
hajua kua jiwe HATINGISIKI...JE NI KWELI BABU ANAUBAVU WA KUTOA NOTICE KWA VYOMBO NYETI VYA SERIKALI ????
Vipi kuhusu masheikh??? Upelelezi miaka 7 sasa
Ila vijisenti sijui kawashindia wapi mkuu?. Yule ndio namtamani yule mzee wa vijisenti yule. Yule kila tukio amepiga,yumo. Rada yumo,sijui richmond yumo,sijui escrow yumo. Halafu bado anadunda.Na wale waliokula mgao wa escrow wakina chenge na tibaijuka mbona hawajakamatwa?
Sent using Cash Money Wings
Mwache mzee akomae kama mandela,mimi naamini anamnyima raha sana mwenyekiti kwa kutokutoa hela alizonazoHujaelewa vizuri uhalisia wa lugha yangu ya kumaanisha umri. Kufa najua yoyote anakufa muda wowote. Kwa hiyo wewe unaona aendelee kuzing'ang'ania hela ingali bado anasoteshwa jera,kwa kitu ambacho anaweza kukitatua?.
Hata kama ana miaka mia 200 tena mbele,hiyo miaka ina maana gani ukiwa kwenye mateso?. Wakati huo huo uwezo wa kuwa huru uko mikononi mwake,ni kiasi kadhaa kiende anakodaiwa,then arudi uraiani akiwa huru aendelee kuishi hiyo miaka yake mia 2,akiwa huru. (Sheria duniani haki mbinguni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio aomba samahani,bali alichonacho kimuokoe. Awasamehe na wengine,pia atakuwa amejisamehe yeye piaAombe samahani kwa kosa ambalo hajafanya.
Huo uhayawani kakataaaaa. Bora afie jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
"I promised you, Dad,Hujaelewa vizuri uhalisia wa lugha yangu ya kumaanisha umri. Kufa najua yoyote anakufa muda wowote. Kwa hiyo wewe unaona aendelee kuzing'ang'ania hela ingali bado anasoteshwa jera,kwa kitu ambacho anaweza kukitatua?.
Hata kama ana miaka mia 200 tena mbele,hiyo miaka ina maana gani ukiwa kwenye mateso?. Wakati huo huo uwezo wa kuwa huru uko mikononi mwake,ni kiasi kadhaa kiende anakodaiwa,then arudi uraiani akiwa huru aendelee kuishi hiyo miaka yake mia 2,akiwa huru. (Sheria duniani haki mbinguni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kinachoendelea kweli?hizi shule duhHuyu mzee anazidi kujiharibia. Akitaka kufuata sheria watafia ndani. Walishapewa nafasi,wangeitumia ile nafasi. Kama bado ipo washaurini waitumie. Hiki sio kipindi kizuri kwake cha kupambana kisheria. Aandike barua ya kulipa kile kinachowezekana ili asamehewe.