Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Ndio adabu itakuwepo. Wataelewa kuwa kucheat ni sawa na kujiandikia adhabu ya kifo.Haya walazimisheni waendelee kunyongana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio adabu itakuwepo. Wataelewa kuwa kucheat ni sawa na kujiandikia adhabu ya kifo.Haya walazimisheni waendelee kunyongana
Upande wa pili pia tumeusikia maana jamaa kaweka viambata vya mwanamke anavyo panga ratiba za kwenda kuuchezea kwingineLakini vyovyote vile hakustahili kuuwawa.
Bora angemuacha tu maana kumuacha mtu nako ni adhabu kubwa sana na ya kutosha tu.
Halafu kusikiliza upande mmoja na kufanya hukumu naona kama si Sawa.
Pengine naye angepewa nafasi ya kujieleza labda angeweza kueleweka na jamii.
HahhhahaNdio adabu itakuwepo. Wataelewa kuwa kucheat ni sawa na kujiandikia adhabu ya kifo.
Kuna maumivu fulani hivi mtu unayapata ukisalitiwa.Usipokuwa makini unaua.
Mwanaume yeyote ambaye akili yake inateswa na mapenzi hana akili, mwanaume yeyote anayeteswa na mwanamke kwasababu ya wivu wa mapenzi ni chizi. ukishindwa kuwa na kiasi kwenye hii dunia utaumia kupita kiasi..View attachment 2307819
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame amesema marehemu ni mkazi wa Tanga na chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi.
Kamanda Makame amesema marehemu Jerome alikuwa na mgogoro na mke wake, ambapo alimtuhumu kutoka kimapenzi na wanaume wengine.
Alisema Jerome na mkewe walipanga safari kuelekea mkoani Rukwa, ambapo ni nyumbani kwao marehemu mke wake na walifikia nyumba ya kulala wageni Julai 26, 2022, ndipo usiku alipochukua uamuzi wa kumnyonga mkewe.
Kamanda Makame alisema baada ya kumnyonga katika nyumba hiyo ya wageni, aliacha ujumbe wa maandishi kwa ndugu wa mke wake ambao ni mashemeji zake uliosomeka: "Nisameheni kwa yaliotokea".
Alieleza kuwa baada ya kufanya tukio hilo mkoani Rukwa alikimbilia mkoani Katavi na Julai 27,2022, huko mtaa wa Ilembo, Manispaa ya Mpanda, alichukua uamuzi wa kujinyonga na walikuta mwili wake ukiwa unaning’inia kwenye kamba.
Mapenzi ya upande mmoja, na kutokuwa na kipato.Neskiliza hizi voice notes, kwakweli mwamba alikua mwamme mvumilivu
Sasa adhabu itatokea wapi na ukishapiga tukio lako unajimaliza na wewe.Hahhhaha
Hio adhabu itawatafuna sana wanaume hahahah
Lucy anaigawa aisee, akikuuzia shuka unamla, akipanda basi dereva anapigaNimesikiliza hizi clip zote...jamaa inaonekana mpole ila kidogo sijui mshamba wa mapenzi[emoji848]
Hana hata mchepuko masikini wa kumliwaza kang'ang'ana na Lucy wake!
Kiufupi na Lucy mshamba tu afu kahaba kubuhu
Inaonekana jamaa hakuplan kuua, mzozo uliotokea gest ukute jamaa alimpiga na kitu demu akazima, ndio mchizi akajiongeza kusepa kwenda kataviLakini vyovyote vile hakustahili kuuwawa.
Bora angemuacha tu maana kumuacha mtu nako ni adhabu kubwa sana na ya kutosha tu.
Halafu kusikiliza upande mmoja na kufanya hukumu naona kama si Sawa.
Pengine naye angepewa nafasi ya kujieleza labda angeweza kueleweka na jamii.
Nakubaliana nawe, Huyo mwanamke ilikuwa ni sikio la kufa tu! Akinamama jichunge na kauli zenuUmesahau umri wa demu ni mkubwa kuliko kijana
Inawezekana kasoma Civil Eng alikuwa hapo Tanga Tech kufundisha Hilo SoMo ,inawezekanaUmeandika kinyesi.
Mume ni mwalim wa shule ya secondary Tanga.
Lakin kuna audio moja Emma anamuuliza kama bado wanaendelea na uhusiano wao, Lucy akamwambia wapo pamoja... Bora angemchana live aumie yaishe kuliko kumkubalia halafu rohoni hamna kituMapenzi ya upande mmoja, na kutokuwa na kipato.
Kwa nilivyozisikiliza Lucy hakuwa na mapenzi na Emma, Emma alikuwa analazimisha mapenzi na mbaya zaidi Lucy amemfanyia Emma vituko vya makusudi na wazi ili Emma aachie ngazi ila kwasababu Emma alikuwa amependa ikawa ngumu kukubali matokeo.
Pamoja Emma kipato chake kilikuwa hakitoshelezi kwa kweli alijitahidi kuingia madeni ili kutatua shida za Lucy ambae hakuwa anajali kabisa bidii ya Emma
Ukisikiliza hii VN unaweza hata ukatumia njia ya maumivu katika kutekeleza haya mauaji ya uyu mwanamke.apumzike kwa amani mwambaJamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Sure; You need to be well balanced psychologically!Kuna maumivu fulani hivi mtu unayapata ukisalitiwa.Usipokuwa makini unaua.
Mtaalamu hii ingekua kwenye ule uzi wa picha na zinavyoelezea matukio ya mbele. je ilionyesha maana yoyote iliyojificha?
Ni uoga na kukosa akili tu.hizo ni habari ,achana kabisa na damu ya mtu itakupeleka huku na huko an