Uchaguzi 2020 Rukwa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Rukwa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Rukwa. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Rukwa una jumla ya majimbo ya uchaguzi 5 ambayo ni

Sumbawanga Mjini -
Aeshi Khalfan Hilary (CCM) - Kura 36, 807
Sadrick Enock Malila (CHADEMA) - Kura 17,829.

Nkansi Kaskazini -
Aida Khenani (CHADEMA) - Kura 21,226
Ally Keissy (CCM) - Kura 19,972

Nkansi Kusini - Kalambo -
Josephat Sinkamba Kandege (CCM) - amepita bila kupingwa


Kwela -
Deus Sangu (CCM)


ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Rukwa tunaenda na chama cha Haki na amani CCM, chini ya kiongozi bora bora Rais Magufuli.
 
Mwamko sio mkubwa watu kama wamekata tamaa kushiriki uchaguzi.
 
Rukwa watu wachache sana wanejitikeza kupiga KURA wengi wao hasa wanachama wa CCM wamekula kona!
 
Back
Top Bottom