Rukwa: Mwanamke apigwa mawe hadi kufa kwa tuhuma za ushirikina

Haya ni mauaji ya kikatili sana haikubaliki Jeshi la polisi lifanye liwasake hao wahuni.
Na hao wahuni ndio wanaichafua serikali ya awamu ya tano, siunajua haohai ndio walitengeneza ile sinema ya lisu halafu wakaisingizia serikali kupitia wasiojulikana?
 
Halafu kuna wabishi eti ushirikina au uchawi haupo. Eti nini? Hayajawakuta tu.
 
Watu weusi wana ujinga ujinga sana na upumbavu mwingi.
 
Hahaha inashangaza sana, jeshi letu kila siku linaua watuhumiwa, utasikia alitaka kutoroka akapigwa risasi, wakati wakifahamu sio kweli.

Wanatofauti gani na wananchi kumuua mtuhumiwa wa uchawi?!
Kweli mkuu
 
Wewe uliishaibiwa?je ukimkamata mwizi wako utamfanyaje?utampa soda na chips ale au utampa kipondo?hebu ongea ukweli,,, mfano,,,mama yako kapotea kwenye mazingira ya utata,,,baada ya muda mwanao nae anapotea,,mnatafuta kwa muda kadhaa,,mnafanikiwa kumkuta kwa mama Fulani,,akiwa kamgeuza msukule mtoto wako,,, sasa utachukuwa hatua gani?
 
Hii si ndio ile principle ya "kulaza chini" ama?

Ukilikuta jambazi "unalilaza chini".

Kama majambazi wanaopora tuvitu tudogo dogo wanalazwa chini bila mjadala, seuze jambazi linalopora binadamu na kuwafanya misukule?

Huyo alazwe chini tu. Tumechoka ushirikina!

Siku za nyuma nilikuwa siamini kabisa uwepo wa mambo ya ulozi mpaka niliposhuhudia mwenyewe!

Wachawi wanakera sana wacha washughulikiwe tu!
 
Halafu kuna wabishi eti ushirikina au uchawi haupo. Eti nini? Hayajawakuta tu.
Halafu hiyo serikali ndy tatizo kubwa kabisa,,,Mimi mkuu yalinikuta matatizo kama hayo,,,halafu matokeo yake yule niliyemtuhumu uchawi akaenda police kupindua kesi nataka kumuua..duu,,police walinisumbuwa sn tu...
 
Mkuu Mimi kuna jirani yangu mmoja nikimtuhumu uchawi,,matokeo yake akapinduwa kesi police nimetishia kumuua,,,,nilisumbuka sana hadi kufuta kesi...
Wakati nipo south Africa,,,kuna Dada Fulani jirani yangu alinitumia text,,akanambiya jirani namuona mama wa nyumba ya jirani yako anafukia vitu getini nyumbani kwako,,,sababu ni usiku na hanioni,,ila anafanya vitu sivielewi hapa getini,,,anachimba na kufukia vitu,, na kwa kweli wakati nipo kule nilipata mikosi sana tu ,,nilipoteza zaidi ya maelfu ya rands kimikosi mikosi tu,, basi niliporudi nilitafuta mbinu nikamwambiya yule mama,,kesho naleta mganga hapa nyumbani au utoe vitu ulivyoviweka hapa getini,,,aisee,,muda sio muda yule mama katoka mbio kaelekea police,,,kufika kapindua kesi nimetamka nataka kumuua,,duu,,kesi ilinimalizia sana pesa,,,kwahyo mkuu walozi wapo na hawaatahili kuishi,,wakaishi dunia yao huko mbele ya safari...huyo mama angebakishwa angesingizia hata wamembaka,,,na upotevu wa Mali ...
 
Hawafai hao!
 
Hawafai hao!
Hatari mkuu,,,matokeo yake ananipiga kimya kimya,,, wachawi watu wabaya sn,,,sio wa kuwachekea,,,pengine mkuu ulipaswa uwe hata mteule wa rais,,,lakini wachawi wamekupeleka shughuli zingine...ha ha ha ha..nuksi tupu hawa..
 
viongozi wa dini ktk eneo hilo mnakazi ya ziada ya kulingania neno la Mungu
Viongozi wa dini hasa walokole ndiyo wanafanya watu waamini ushirikina zaidi. Mahubiri yao yote yanalenga kumfanya muumini aamini ushirikina ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu. Matokeo yake watu wanaishia kuamiani kila kitu ni ushirikina.
 
Hatari mkuu,,,matokeo yake ananipiga kimya kimya,,, wachawi watu wabaya sn,,,sio wa kuwachekea,,,pengine mkuu ulipaswa uwe hata mteule wa rais,,,lakini wachawi wamekupeleka shughuli zingine...ha ha ha ha..nuksi tupu hawa..
Hahahaa...

Aisee sikuwahi kuamini uchawi ili kuna siku hivi majuzi nilifika mahali bila wao kujua, ilikuwa mida ya saa saba usiku, nikawasikia wanatoa manuio makali sana ya kulaani watu.

Sikuwahi kujua kama wachawi wanatisha vile. Nilitishwa mno na yale maneno wanayoyatamka!

Si ajabu watu wengi wamefungwa kichawi chawi tu!
 
Ambae hajawahi kupatwa na Madhira yanayotokana na Ushirikina wala huwezi kuelewa walichokifanya hawa Wajuba.

Anaye au aliyeishi Ngoma, Busolwa mkoa wa Geita au Ukerewa au Majita aje awasimulie tu kwa ufupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…