Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Niko Swax, ninapita kila siku hapo Momoka lakini sijasikia taarifa za msiba huoSina imani na nyuki wa sumbawanga.
Ukilala chini nyuki hawakuumi. Wanapitiliza.Nyuki wanamtiti,hasa wakijua unataka kuharibu maskani yao,au kumdhuru malkia wao,Tahadhari wakianza kukushambulia timua mbio,Wala usijaribu jigaragara chini,ukadhani wataacha,kimbiiiiiaa mbali na anga zao
Wa kutumwaa hao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina imani na nyuki wa sumbawanga.
Wee muongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukilala chini nyuki hawakuumi. Wanapitiliza.
Nyuki kama nyuki wa mchongo[emoji23][emoji23]mmmhhh nyuki kama nyuki
Siku ikitokea nkashambuliwa na nyuki wawili tu najua ndo mwisho wangu wa maishaMwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea mtaani kwake Julai 10, 2023 na jitihada za kumuokoa Mwanamke huyo zilifanyika akapelekwa Hospitali lakini ilipofika majira ya saa nane usiku wa kuamkia Julai 12 alifariki.
Diwani wa Kata ya Momo, Charles Chakupewa amekiri kutokea kwa tukio hilo.
CHANZO: Millard Ayo
Mleta mada type source of informationMwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake.