Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hao kwangu mimi huwa nawaona kama adui yangu nambari mojaHua naona kama laana flani hivi. Sawa na wale walimu wa msingi na sekondari wanaoisaidia CCM kuiba kura kwenye uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao kwangu mimi huwa nawaona kama adui yangu nambari mojaHua naona kama laana flani hivi. Sawa na wale walimu wa msingi na sekondari wanaoisaidia CCM kuiba kura kwenye uchaguzi.
Hao wanashindia kangaraMatusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza
Tangu afariki mjomba wako nakuona una hasira sana .CHADEMA pambanieni katiba ya chama ili kumuondoa life chairman ndo mje kwa wananchi kuwaeleza hizo ngonjera zenu za katiba mpya huenda wakawaelewa japo kidogo
Adhaniaye amesimama..kumbe ameanguka..chunga sana kauli zako.Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo
Labda maisha tu,,,,, [emoji853]Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo
Nina amani Kama yote mkuu,by the way Mimi ni CCM na siko CCM kwa ajiki ya mtu Fulani Kama wewe uilivyo CHADEMA because of Mrs Robert AmsterdamTangu afariki mjomba wako nakuona una hasira sana .
kama umeng'olewa ubongo utaelewaje ?Hako kaaskofu huwa sikaelewagi hata kidogo.
Mwamakula alipiga maombi Mungu akayasikia wote waliovuruga uchaguzi mkuu chali, sabaya, ndugai, jiwe, bashite, chalamila, kange hata awajulikani walipo wamebakia historia.
Kwani kule mombasa likoni ulikuwa house boy au?Nina amani Kama yote mkuu,by the way Mimi ni CCM na siko CCM kwa ajiki ya mtu Fulani Kama wewe uilivyo CHADEMA because of Mrs Robert Amsterdam
Acha habari zako mkuu,Mimi ni mwalimu,nafundisha shule ya msingi mpigamiti-Liwale-lindi toka mwaka 2004 Hadi leo,sasa huko Mombasa wapi na wapi?Kwani kule mombasa likoni ulikuwa house boy au?
Nadhani in chizi au anaugua sonona.Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo
Mkuu tusaidiane kuitafuta ile dua tuijengee mnaraMwamakula alipiga maombi Mungu akayasikia wote waliovuruga uchaguzi mkuu chali, sabaya, ndugai, jiwe, bashite, chalamila, kange hata awajulikani walipo wamebakia historia.
Sijang'alewa ubongo; lakini hako kaaskofu kako sijui kakoje. Hakajielewi.kama umeng'olewa ubongo utaelewaje ?
Lisu anajipendekeza kwa rais Samia huko ubelgiji. Au bado hujui?Kalimsambaratisha jiwe
Kawaambia hiyo katiba mpya atawapa lini Sasa? Siyo porojo aseme atawapa lini hiyo katiba mpya nyie chadema?Hata askofu Desmond Tutu wa Afrika kusini aliweza kuliokoa au kuliandalia taifa lao kwa kupigania kupata katiba mpya.
Watanzania tutakukumbuka sana askofu Mwamakula kwa juhudi zako hizi na ipo siku isiyo mbali utavishwa taji la heshima.
Yasikilize maneno yenye kujenga nchi kutoka kwa askofu Mwamakula leo hii tukiwa huku Sumbawanga.View attachment 2121102
Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo