Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

Magufuli To Samia:

From Emperor Without Clothes To Empress Without Shame!

downloadfile-2.jpg
 
Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo
Adhaniaye amesimama..kumbe ameanguka..chunga sana kauli zako.

Kimsingi mwamakula ndiye mchungaji mwenye upendo na watanganyika hao wengine ni wachumia tumbo.

Katiba mpya ni hitaji la wananchi sio watawala.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo
Labda maisha tu,,,,, [emoji853]
 
Tangu afariki mjomba wako nakuona una hasira sana .
Nina amani Kama yote mkuu,by the way Mimi ni CCM na siko CCM kwa ajiki ya mtu Fulani Kama wewe uilivyo CHADEMA because of Mrs Robert Amsterdam
 
Mwamakula alipiga maombi Mungu akayasikia wote waliovuruga uchaguzi mkuu chali, sabaya, ndugai, jiwe, bashite, chalamila, kange hata awajulikani walipo wamebakia historia.
SURATI%20ZUBAA%20%20Ndio%20surati%20zubaa%2C%20pengine%20tumesomewa%2C%20Sivyo%20tusingebung'a...jpg
 
maaskofu, masheikh, wachungaji nk, wakiwa CDM hamna shida, lakini wakiwa CCM ni shida tayari....
 
Kwani kule mombasa likoni ulikuwa house boy au?
Acha habari zako mkuu,Mimi ni mwalimu,nafundisha shule ya msingi mpigamiti-Liwale-lindi toka mwaka 2004 Hadi leo,sasa huko Mombasa wapi na wapi?
 
Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo
Nadhani in chizi au anaugua sonona.
 
Mwamakula alipiga maombi Mungu akayasikia wote waliovuruga uchaguzi mkuu chali, sabaya, ndugai, jiwe, bashite, chalamila, kange hata awajulikani walipo wamebakia historia.
Mkuu tusaidiane kuitafuta ile dua tuijengee mnara
 
Hata askofu Desmond Tutu wa Afrika kusini aliweza kuliokoa au kuliandalia taifa lao kwa kupigania kupata katiba mpya.

Watanzania tutakukumbuka sana askofu Mwamakula kwa juhudi zako hizi na ipo siku isiyo mbali utavishwa taji la heshima.

Yasikilize maneno yenye kujenga nchi kutoka kwa askofu Mwamakula leo hii tukiwa huku Sumbawanga.View attachment 2121102
Kawaambia hiyo katiba mpya atawapa lini Sasa? Siyo porojo aseme atawapa lini hiyo katiba mpya nyie chadema?
 
Hiyo Katiba mpya inapatikana karibuni ipi? Mwamakula anaota tuu bila kuwa na plan

Katiba mpya huwa watu hawapewi kwenye silver plate
 
Mkienda kupima kati yako were mnene wanyama na aliyebaki hiyo mifupa utakuta we we mnene wa nyama unahitaji betri
Mwamakula atakuwa anaumwa ugonjwa mkubwa sana, amekonda amebaki mifupa tu, labda huo ugonjwa ndio unamfanya awe na hamu ya kugombana, maradhi mengine huathiri hata ubongo
 
Back
Top Bottom