Rukwa: Watendaji Kata na Vijiji 93 watumia Milioni 162 za makusanyo ya Halmashauri kwa matumizi yao binafsi

Rukwa: Watendaji Kata na Vijiji 93 watumia Milioni 162 za makusanyo ya Halmashauri kwa matumizi yao binafsi

Hiyo inaitwa ...eat more fish,more meat and the rules say so...!Hamuwaongezei mshahara wala kuwapatia marupurupu mnatarajia wawachekee?
 
Misungwi alisema katika halmashauri hiyo, watendaji 93 wametumia Sh. 162,742,350 (milioni 162.7), hivyo kuwataka wazirudishe kabla ya Februari 28, vinginevyo ataliagiza Jeshi la Polisi kumkamata kila mtendaji anayedaiwa.
Ametoa wapi mamlaka ya kuwapa grace period wahalifu waliogawana 1,749,917.741935484 kila mmoja
 
Back
Top Bottom