Rukwa: Watendaji Kata na Vijiji 93 watumia Milioni 162 za makusanyo ya Halmashauri kwa matumizi yao binafsi

Hiyo inaitwa ...eat more fish,more meat and the rules say so...!Hamuwaongezei mshahara wala kuwapatia marupurupu mnatarajia wawachekee?
 
We maku unavimba nyuma ya keyboard eti?
Umgekutana na mm laivu ungenitambua vizuri mm n nani punguani wahead ww
Ungekutana na mimi ningesambaratisha kinyeo chako!
 
Misungwi alisema katika halmashauri hiyo, watendaji 93 wametumia Sh. 162,742,350 (milioni 162.7), hivyo kuwataka wazirudishe kabla ya Februari 28, vinginevyo ataliagiza Jeshi la Polisi kumkamata kila mtendaji anayedaiwa.
Ametoa wapi mamlaka ya kuwapa grace period wahalifu waliogawana 1,749,917.741935484 kila mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…