Rummy aitingisha DSM

Rummy aitingisha DSM

Wauza sembe ndio habari ya mjini..

Kuna mtu alinipita na AUDI Q-7 mpyaaaaa hadi nikaogopa.. Nikapiga hesabu za haraka haraka nikakuta vi corolla kama changu vinaingia kama 30 hivi kufikia bei ya hiyo gari moja...

Wauza sembe wapo wengi sana Dar es salaam. Na ndio wanasumbua sana dada zetu

duh hii ni hatari hapa Sinza ndo usiseme watu wanapush Range rover new model, range evique, izo audi q-7 za kutosha mpaka unajiuliza haya maisha magumu kwa watu wachache au wotee
 
By Ngongoseke
Ashii wema ndio anaitwa Rooney?Italy sembe tu tena la azam

Hapana Wema ndio aliyemuunganishia Rooney......Njoo M/nyamala ukimuulizia unapelekwa hadi kwake msela ana chedda ya sembe.
Duh.. Tanzania yetu weee.. Where r u goin jamani..
Urembo wako ume Paukaaa..
Sifa yako kwishney..
Amani yako nduuuki..
Nijivunie nini leo?
 
duh hii ni hatari hapa Sinza ndo usiseme watu wanapush Range rover new model, range evique, izo audi q-7 za kutosha mpaka unajiuliza haya maisha magumu kwa watu wachache au wotee

Watu wana hela za kufa mtu,kuna kiwanja mori 30m kwa 30m kinauzwa Tsh 980m
 
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.

Nyie kalieni chadema....mtasindikiza tuu.....
 
jamani hii kweli halali mimi na vishahada vyangu viwili vya kusomea na mkopo ambao cjaumaliza kuurudisha hadi leo sina hata KIVITS au KINOA yani mtu hata cjui kama f4 alimaliza anamiliki Q7,RANGE ROVER sijui nini kaaa kweli nimeamini usiseme TZ ni masikini sema mimi kabwela ni masikini!
 
Usilazimishe maisha mkuu kumbuka kuna leo na kesho alafu usipende sana kulaumu bali fanya kazi kwa bidii gari ukitaka utapata tu tena siyo hizo za kijapani engine holaa bali kipya, ukishazaliwa kwenye familia duni lazima upitie HUSTLING COLLEGE huko utajifunza mengi sn kutoka kwa hustlers wengine.

jamani hii kweli halali mimi na vishahada vyangu viwili vya kusomea na mkopo ambao cjaumaliza kuurudisha hadi leo sina hata KIVITS au KINOA yani mtu hata cjui kama f4 alimaliza anamiliki Q7,RANGE ROVER sijui nini kaaa kweli nimeamini usiseme TZ ni masikini sema mimi kabwela ni masikini!
 
nimekuja mbio nikidhani wayne rooney kumbe rooney fake. tanzania bwanaa
 
Wauza sembe ndio habari ya mjini..

Kuna mtu alinipita na AUDI Q-7 mpyaaaaa hadi nikaogopa.. Nikapiga hesabu za haraka haraka nikakuta vi corolla kama changu vinaingia kama 30 hivi kufikia bei ya hiyo gari moja...

Wauza sembe wapo wengi sana Dar es salaam. Na ndio wanasumbua sana dada zetu

Acha uoga si kila mwenye Audi anauza sembe.Negative thinking
 
jamani hii kweli halali mimi na vishahada vyangu viwili vya kusomea na mkopo ambao cjaumaliza kuurudisha hadi leo sina hata KIVITS au KINOA yani mtu hata cjui kama f4 alimaliza anamiliki Q7,RANGE ROVER sijui nini kaaa kweli nimeamini usiseme TZ ni masikini sema mimi kabwela ni masikini!

Swali la kujiuliza ni moja tu, Ni kwa nini wao wameweza kuwa na hivyo ulivovitaja na wakati huo huo wengine hawana hata baiskeli ya phoenix.You are what you think
 
Acha kumfagilia mwanaume mwenzako wewe chizi nn? Post vitu vya maana acha kutuletea stori za bangi
 
Back
Top Bottom