Rummy aitingisha DSM

Rummy aitingisha DSM

jamani hii kweli halali mimi na vishahada vyangu viwili vya kusomea na mkopo ambao cjaumaliza kuurudisha hadi leo sina hata KIVITS au KINOA yani mtu hata cjui kama f4 alimaliza anamiliki Q7,RANGE ROVER sijui nini kaaa kweli nimeamini usiseme TZ ni masikini sema mimi kabwela ni masikini!

Acha uswahili wa kidar salaama mnawaza magar huku mnapanga chumba kimoja wenzenu huwa tunawaza mijengo na kukuza mitaji magar ni kitu cha kawaida sana na sio utajir achen ulimbuken wa magar
 
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.

Mbona kuna siku kupitia eatv nilimuona wema anasema kuwa yeye wema ndio aliye toa hizo 13m?
 
wayne-rooney-pa_2830260b.jpg
 
Mi napita tu wajameni, hayo ma Q7, na maugali ya sembe hata sielewi kwaakweli. Infwact mumenipiga knock out, yo maaweeee
 
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.
Kichwa cha habari kiliniwahisha, kumbe ROONEY dereva sio msakata kabumbu

Haya kaka
 
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.

nami ni tajiri wa huku nimenunua kamtaa wananitii wote
 
Ndo maana vijana wetu hawachoki kujitoa muhanga japo wanakamatwa kila leo
 
We kweli mtanzania! habari za hovyoo! ya umbea tu! ngoja nikutupie utumbo mmu.
 
Atueleze tuelewe kama alikua anatumia makalio kama buti ya kubebea mzigo. Biashara gani ghafla bin vuu unanunua mtaa mpaka kituo cha polisi. Lowasa mwenyewe hajajenga hata polisi posti leo dogo anafanya kufuru hamumchukulii hatua. mchunguzeni vizuri.
 
Nimemuona kwenye Drug Dealer of the week kwa Mange...Rumishael Shoo.
 
kweli huyu rummy amewatandiga madem wa bongo move na bongo fleva kibao
 
Correction:Sio Rooney ni Rummy,Mods wameiweka Thread Kwenye Jokes??? Tangia Mwaka 2013 watu tunapiga Kelele Kuhusu Huyo mtu kuwa na fedha za ajabu ndio amekuja kukamatwa leo?
 
Back
Top Bottom