Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
Wauza sembe ndio habari ya mjini..
Kuna mtu alinipita na AUDI Q-7 mpyaaaaa hadi nikaogopa.. Nikapiga hesabu za haraka haraka nikakuta vi corolla kama changu vinaingia kama 30 hivi kufikia bei ya hiyo gari moja...
Wauza sembe wapo wengi sana Dar es salaam. Na ndio wanasumbua sana dada zetu
Rooney!!!
I just wasted 32kb on reading nothing!
Duh.. Tanzania yetu weee.. Where r u goin jamani..By Ngongoseke
Ashii wema ndio anaitwa Rooney?Italy sembe tu tena la azam
Hapana Wema ndio aliyemuunganishia Rooney......Njoo M/nyamala ukimuulizia unapelekwa hadi kwake msela ana chedda ya sembe.
duh hii ni hatari hapa Sinza ndo usiseme watu wanapush Range rover new model, range evique, izo audi q-7 za kutosha mpaka unajiuliza haya maisha magumu kwa watu wachache au wotee
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.
Nyie kalieni chadema....mtasindikiza tuu.....
Kwa hiyo na yeye atagombea UBUNGE 2015 kama mwenzie wa Chalinze.Hapana Wema ndio aliyemuunganishia Rooney......Njoo M/nyamala ukimuulizia unapelekwa hadi kwake msela ana chedda ya sembe.
jamani hii kweli halali mimi na vishahada vyangu viwili vya kusomea na mkopo ambao cjaumaliza kuurudisha hadi leo sina hata KIVITS au KINOA yani mtu hata cjui kama f4 alimaliza anamiliki Q7,RANGE ROVER sijui nini kaaa kweli nimeamini usiseme TZ ni masikini sema mimi kabwela ni masikini!
Sembe ndo nini jamani
unga wa mtama uliochanganywa na wamahindi