mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
jamani hii kweli halali mimi na vishahada vyangu viwili vya kusomea na mkopo ambao cjaumaliza kuurudisha hadi leo sina hata KIVITS au KINOA yani mtu hata cjui kama f4 alimaliza anamiliki Q7,RANGE ROVER sijui nini kaaa kweli nimeamini usiseme TZ ni masikini sema mimi kabwela ni masikini!
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.
Mbona kuna siku kupitia eatv nilimuona wema anasema kuwa yeye wema ndio aliye toa hizo 13m?
Kichwa cha habari kiliniwahisha, kumbe ROONEY dereva sio msakata kabumbu¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.
Kichwa cha habari kiliniwahisha, kumbe ROONEY dereva sio msakata kabumbu
Haya kaka
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rooney enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rooney ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.
Atueleze tuelewe kama alikua anatumia makalio kama buti ya kubebea mzigo. Biashara gani ghafla bin vuu unanunua mtaa mpaka kituo cha polisi. Lowasa mwenyewe hajajenga hata polisi posti leo dogo anafanya kufuru hamumchukulii hatua. mchunguzeni vizuri.
kweli huyu rummy amewatandiga madem wa bongo move na bongo fleva kibao
Nimemuona kwenye Drug Dealer of the week kwa Mange...Rumishael Shoo.
Hata bwana Dickson maimu na kahamisha zaidi ya familia 40 kisha kajenga bar
Nae tumwiteje?
Nida bossHata bwana Dickson maimu na kahamisha zaidi ya familia 40 kisha kajenga bar
Nae tumwiteje?