Rundo la vidonge vimetupwa mtaani, naenda kuwaeleza serikali ya mtaa

Afisa afya, Afisa mazingira, Mkemia, hawa huwa wapo huko maofisini tu.
 
Tunasubiri picha
 
Hapana mkuu sio vzr wako watoto wadogo wanaweza kuvila..
Watoto wanavyochukia dawa !! Waanze tu kuokota na kula ?
Anyway labda watoto wanatofautiana pia, maana hawa wangu linapokuja swala la dawa , ni balaa.
 
Haya ni mawazo ya mtu maskini asiyejitambua.

Wewe uko hapo ulipo kwa sababu kuna watu walijali sana ustawi wako bila hata wewe kujua.Uko salama kwa sababu yupo mtu hakuamua kujali mambo yake tu bali ya jamii yake yote.

Achana na ubinafsi wa kishamba namna hii
Mkuu Mbona unajisumbua. Wewe jali maisha yako na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…