COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Ohooo mkuu watataka kujaribu,chezea watoto weee halafu wa uswahilini!!Kuna wengine dawa kwao ni pipiWatoto wanavyochukia dawa !! Waanze tu kuokota na kula ?
Anyway labda watoto wanatofautiana pia, maana hawa wangu linapokuja swala la dawa , ni balaa.