Rundo la vidonge vimetupwa mtaani, naenda kuwaeleza serikali ya mtaa

Watoto wanavyochukia dawa !! Waanze tu kuokota na kula ?
Anyway labda watoto wanatofautiana pia, maana hawa wangu linapokuja swala la dawa , ni balaa.
Ohooo mkuu watataka kujaribu,chezea watoto weee halafu wa uswahilini!!Kuna wengine dawa kwao ni pipi
 
Dodoma
Kisasa relini
Sawa mkuu Kama Happ Kuna kituo kidogo cha afya labda wameya mwaga Kwasababu wagonjwa ambao humeza mchanganyiko wa hizo dawa huwa hawapewi dawa nyingi kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…