Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Wasafi nao wamepigwa faini ya milioni 5 .hii yote kwa kuwa leo asbh amerusha habari za CHADEMA ofisi kuchomwa moto
 
Nini tena???

Ila pamoja na yote hizi sheria za kipuuzi hazimpi nafasi,mtuhumiwa kukata rufaa yaani BASATA na TCRA maamuzi yao kama risasi yakitoka yametoka.
 
Mkuu shilawadu wameanza kutoa WCB lini boss? Maana nina miezi kama 10 sijawahi angalia.
 
Wasafi nao wamepigwa faini ya milioni 5 .hii yote kwa kuwa leo asbh amerusha habari za cdm ofisi kuchomwa moto
Seriously? Nilisikia asubuhi Kipanya akimsahihisha Samsasali kuwa aseme ofisi zimeungua moto na si zimechomwa moto hadi vyombo husika vitapodhibitisha [emoji6]
 
Seriously? Nilisikia asubuhi Kipanya akimsahihisha Samsasali kuwa aseme ofisi zimeungua moto na si zimechomwa moto hadi vyombo husika vitapodhibitisha [emoji6]
Nimeona saa hivi tcra imetoa waraka wao kuhisu wasafi
 
Safi sana mimi nataka chaneli zote zinazojipendekeza zilambwe...kila mtu atapigwa spana kwa wakati wake mpaka akili ziturudie kwa kosa la kukabidhi nchi kwa kikundi cha watu wachache.
Wasafi nao wamepigwa faini ya milioni 5 .hii yote kwa kuwa leo asbh amerusha habari za cdm ofisi kuchomwa moto
 
Watangazaji wetu sasa wana mtihani kwa kila neno linalowatoka. Inaonesha kuna watu TCRA wanasikiliza radio zote na kila kipindi?
 
Wacha Clouds wakale walikopeleka mboga!

pale wana mtu mmoja tu anayejitambua - Masoud Kipanya basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…