Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Mawingu wakamuombe msamaha Say moon! Nasikia walimchimba biti zito!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasafi nao wamepigwa faini ya milioni 5 .hii yote kwa kuwa leo asbh amerusha habari za CHADEMA ofisi kuchomwa motoWakuu,
Nimeona kupitia nipashetz Instagram account kuwa TCRA wameipiga kufuli hicho kipindi kwa kukiuka maudhui ya utangazaji. Pia hawatakiwi kuwa na kipindi Chenye maudhui hayo kuanzia leo.
Poleni sana kwa Clouds fm kwa pigo hili ingawa hatujui chanzo halisi ni nini.
Ushauri nyakati hizi Jahazi haipo turudisheni burudani za zamani, maneno kidogo muziki mzuri unatawala dizaini ya mid morning jams ile ya dj boogie Master.
Pendekezo: Itapendeza mkimpa space John Dilinga na mtu wa sports kidogo lakini mziki mzuri ukitawala na maneno kidogo.
Kuwa na kipindi kisicho na maudhui ya Jahazi kwa jioni ni mtihani. Kila lakheri kwenu.
Nini tena???Wakuu,

unajua ile ststion inakoelekea akileta undezi pale kuna siku mmoja baada ya mwingne atatfuta njia yake...wamekosa attention kama za zamani..kipindi cha shilawadu kikowapi???walikuwa hawatoi taarfa za wcb lakini siku hizi kila siku wanatoa taarfa za wcb tu..unafiki una mwisho mbaya sana aisee
Seriously? Nilisikia asubuhi Kipanya akimsahihisha Samsasali kuwa aseme ofisi zimeungua moto na si zimechomwa moto hadi vyombo husika vitapodhibitisha [emoji6]Wasafi nao wamepigwa faini ya milioni 5 .hii yote kwa kuwa leo asbh amerusha habari za cdm ofisi kuchomwa moto
Ni yeye 2020Dah wanalazimishwa kusifu na kumuabudu jamaa... But all in all kura yangu kwa TAL
Weka sawa. Ni makufuli ama SPANA?Ila makufuli yanatembea si kawaida
Nimeona saa hivi tcra imetoa waraka wao kuhisu wasafiSeriously? Nilisikia asubuhi Kipanya akimsahihisha Samsasali kuwa aseme ofisi zimeungua moto na si zimechomwa moto hadi vyombo husika vitapodhibitisha [emoji6]
Wasafi nao wamepigwa faini ya milioni 5 .hii yote kwa kuwa leo asbh amerusha habari za cdm ofisi kuchomwa moto
Aiseee kwahiyo ni kosa kuripoti hilo tukio!Wasafi nao wamepigwa faini ya milioni 5 .hii yote kwa kuwa leo asbh amerusha habari za cdm ofisi kuchomwa moto
Wacha Clouds wakale walikopeleka mboga!Wakuu,
Nimeona kupitia nipashetz Instagram account kuwa TCRA wameipiga kufuli hicho kipindi kwa kukiuka maudhui ya utangazaji. Pia hawatakiwi kuwa na kipindi Chenye maudhui hayo kuanzia leo.
Poleni sana kwa Clouds fm kwa pigo hili ingawa hatujui chanzo halisi ni nini.
Ushauri nyakati hizi Jahazi haipo turudisheni burudani za zamani, maneno kidogo muziki mzuri unatawala dizaini ya mid morning jams ile ya dj boogie Master.
Pendekezo: Itapendeza mkimpa space John Dilinga na mtu wa sports kidogo lakini mziki mzuri ukitawala na maneno kidogo.
Kuwa na kipindi kisicho na maudhui ya Jahazi kwa jioni ni mtihani. Kila lakheri kwenu.
Seriously? Nilisikia asubuhi Kipanya akimsahihisha Samsasali kuwa aseme ofisi zimeungua moto na si zimechomwa moto hadi vyombo husika vitapodhibitisha [emoji6]
Kwakweli kazi wanayo.Watangazaji wetu sasa wana mtihani kwa kila neno linalowatoka. Inaonesha kuna watu TCRA wanasikiliza radio zote na kila kipindi?
Nadhani imechangiaAiseee kwahiyo ni kosa kuripoti hilo tukio!
Hizi ni SPANA mkuu. Watu wanaweza kuamua kupiga miziki tu hadi kupoe [emoji41][emoji41]Weka sawa. Ni akkufuli ama SPANA?
Hata kama ni serikali ya CCM imewafungia tujue tu maswala ya maadili ya mtanzania hayana chamaMbaya zaidi watu wanajua ni ccm ndio imesababisha...