Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Asante TCRA, basata ingekua hivi kusingekua na miziki inayochochea na kusifia ngono wazi wazi. BASATA mnakwama wapi sijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ifungwe tuu tangu kibonde afe nayo ilikufa
Yeah! Jahazi limezamishwa.
Speechless.TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa.
Wasafi Media Online TV imetuhumiwa kurusha maudhui yanayochochea vitendo vya ngono kupitia kipindi cha Women Matters. Kosa la ngono kamati imetoa onyo na faini ya milioni 5 itakayolipwa TCRA.
Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi
Chanzo: TBC Online
Dah jahazi limezamishwa na ngono
View attachment 1536961
Musiba ni mwanaharakati huruHivi zile clip za yule Musiba hawazioni