Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

Waliambiwa wakati wanabanwa CDM wao wakajiona wako salama ndiyo zamu yao sasa hakuna kulialia hadi wote tutaelewana na kuongea lugha moja
 
Kosa lao ni>>Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi
Hawa TCRA mbona wanatuharibia burudani? Hao ni mawakala wa CCM
 
Asante TCRA, basata ingekua hivi kusingekua na miziki inayochochea na kusifia ngono wazi wazi. BASATA mnakwama wapi sijui.
Actually miziki ipo chini ya TCRA pia, maana Ni sehemu ya maudhui ya mtandaoni na radioni na Tv
Hawa TCRA naona hawajitambui, miziki ndio inayoharibu zaidi kuliko hata hizi habari zinazosomwa dk moja na kupora, miziki inarudiwa kila siku, kila saa
 
Fungia online tv zote pia
Tumechoka kuona story za lokole, Kumbuka, gigy
Shilole.... Wolper etc
Acha wote tuisome ####

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa.

Wasafi Media Online TV imetuhumiwa kurusha maudhui yanayochochea vitendo vya ngono kupitia kipindi cha Women Matters. Kosa la ngono kamati imetoa onyo na faini ya milioni 5 itakayolipwa TCRA.

Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi

Sasa Carry mastory milioni 5 atatoa wapi? Yaani Kidada kama Ki carry mnakitoza sawa na Clouds Efeme? Kweli ndio maana mikutano ya lissu hairushwi na vyombo vya habari kuhofia mizania(balancing of story) maana inawezekana chombo kikarusha makombora ya lissu bila kubalance kwa Dr Abbas ila ya ANKOLI wanarusha tu bila kubalance.
 
Fungia Hivi vi online tv maana kutwa kuwahoji watu wenye vina saba vya kina delicious
TUTAEREWANAAAAAAAAA TUUU

ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Wacha wapigwe fine za kutosha,wote hao ni wafuasi wa ccm hela ipo
TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa.

Wasafi Media Online TV imetuhumiwa kurusha maudhui yanayochochea vitendo vya ngono kupitia kipindi cha Women Matters. Kosa la ngono kamati imetoa onyo na faini ya milioni 5 itakayolipwa TCRA.

Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi

Hivi gharama ya kujenga hayo mafly over, SGR, vituo vya afya, viwanda nk. kweli vinahitaji ku compromise Uhuru wa wananchi kusema au kupata Habari....!!?
 
Mbona kwenye mtaala wa shule za msingi wanafundishwa faida na madhara ya kujichua! Ama hulijui hill mzee?
Nimesema wewe wafundishe wanao tena Kwa kuwafanyia practical, na kwamba ili kuepuka magonjwa wajifanyie wao Kwa wao.
 
Back
Top Bottom