Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa TCRA mbona wanatuharibia burudani? Hao ni mawakala wa CCMKosa lao ni>>Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi
Actually miziki ipo chini ya TCRA pia, maana Ni sehemu ya maudhui ya mtandaoni na radioni na TvAsante TCRA, basata ingekua hivi kusingekua na miziki inayochochea na kusifia ngono wazi wazi. BASATA mnakwama wapi sijui.
Msubiri 2100 CHADEMA ikishika madaraka muwekwe vipindi vya ngonoKazi imeanza. Sasa hivi ni vipindi vya kusifu tu na kuabudu ndivyo vinahitajika. We have a long way to go.
Ndiyo Safi tena wakifungia online tv na mambo yao ya udaku udaku itapendeza zaidiKila mmoja anafikiwa kwa wakati wake...hakuna aliesalama ni swala la muda tu.
Sasa Carry mastory milioni 5 atatoa wapi? Yaani Kidada kama Ki carry mnakitoza sawa na Clouds Efeme? Kweli ndio maana mikutano ya lissu hairushwi na vyombo vya habari kuhofia mizania(balancing of story) maana inawezekana chombo kikarusha makombora ya lissu bila kubalance kwa Dr Abbas ila ya ANKOLI wanarusha tu bila kubalance.TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa.
Wasafi Media Online TV imetuhumiwa kurusha maudhui yanayochochea vitendo vya ngono kupitia kipindi cha Women Matters. Kosa la ngono kamati imetoa onyo na faini ya milioni 5 itakayolipwa TCRA.
Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi
Aagh wapiTunaenda kuwa na nchi ambayo MWANAUME NI MMOJA
Wakome kurusha habari za Savimbi wa TanzaniaKazi imeanza. Sasa hivi ni vipindi vya kusifu tu na kuabudu ndivyo vinahitajika. We have a long way to go.
TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa.
Wasafi Media Online TV imetuhumiwa kurusha maudhui yanayochochea vitendo vya ngono kupitia kipindi cha Women Matters. Kosa la ngono kamati imetoa onyo na faini ya milioni 5 itakayolipwa TCRA.
Kamati ya Maudhui ya TCRA imekifungia kipindi cha Jahazi Cha Clouds FM kwa kosa la kurusha maudhui yenye kuchochea kujichua sehemu za siri na ngono. Aidha, Clouds FM imetakiwa kutokujaza muda huo kwa kipindi kingine chenye maudhui sawa na Jahazi
Nimestuka hata mimi, wanapaswa kuweka kipindi cha kusifu.
Nimesema wewe wafundishe wanao tena Kwa kuwafanyia practical, na kwamba ili kuepuka magonjwa wajifanyie wao Kwa wao.Mbona kwenye mtaala wa shule za msingi wanafundishwa faida na madhara ya kujichua! Ama hulijui hill mzee?
Au sijaelewa vizuri pale juu!?navyowajua clouds watakuja na boonge la kipindi kucover