RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

matokeo ya kuiga kila kitu kutoka magharibi, huyo binti Gigy hana adabu hata za kuendea chooni! na wapo wengi tu kwenye tasnia yao! Nyimbo wanazoimba hazieleweki hazina maadili!

Na Diamond aache kufanya mambo kishkaj anawabeba sana watu ambao baadae wanamgharimu! Ajifunze kupitia changamoto hizo! Hata baadh ya watangazaji wake ni zero wakasome kwanza!
 
Miaka ya nyuma kidogo shilole aliwahi kufungiw mwaka kufanya mziki lakin hata week haikupita akaludi kweny Sanaa, TCRA mikwal tu
 
Kama ndio mawazo yako basi hakuna haja ya kuwa na TCRA. Hivi watanzania tuko vipi? Yaan mnaona kabisa watu wamevunja maadili kwa uwazi na sheria zipo afu lipite kimya.? Mi binafsi nilitarajia kufutiwa leseni kabisa na TIGO kupigwa faini kwa kudhamini tamasha linaloacha tamaduni zetu.
 
Umeongea point mkuu,
 
Nisamehe tu mkuu Kama nitakukwaza...Kaa ukijua kuwa wewe ni mbumbumbu na hujui hili linchi lenu linavyoendeshwa kwa mihemuko na washamba mlio wakabidhi madaraka mpaka yamewalevya
 
Natoa wito kwa watu wote kuacha kuzipuuza nyimbo za vijana wetu wa Bongo Fleva , zina mafundisho na ujumbe wa kweli sana .

Ukiusikiliza wimbo wa Baba lao uliotungwa na Diamond, ambaye ni rafiki wa Zuchu mtoto wa Hadija Kopa , utagundua kwamba nyimbo hizi za vijana wetu hawa zina mafundisho makubwa mno .

Tuendelee kuwaombea .
 
ndo nini sasa?
 
Nisamehe tu mkuu Kama nitakukwaza...Kaa ukijua kuwa wewe ni mbumbumbu na hujui hili linchi lenu linavyoendeshwa kwa mihemuko na washamba mlio wakabidhi madaraka mpaka yamewalevya
Kwanza nikubali kabisa kuwa mimi MBUMBUMBU haya endelea kutoa hoja zako niko hapa kusubiri maelezo yako Boss.
 
TV inaongozwa kihuni sana ile, Wanaacha wasanii wenye vipaji wakomaa na malaya wadangaji tu ngoja waisome namba kwanza
 
Na mtapigwa viboko sana manina, shangilia tu ila mwanao na wajukuu zako lazima watazisoma number.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…