Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Lawama zote kwa John
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point mkuu,Kwa picha niliyoiona Mimi ya gigy money nikilinganisha na sehemu aliyokuwepo na kitu alichokuwa akikifanya pia nikiangalia hadhira ilikuwa ni watu wa aina gani walikuwa pale kufanya nini na kupata nini hakika sioni kabisa mahari ambapo gigy amekosea...
Nisamehe tu mkuu Kama nitakukwaza...Kaa ukijua kuwa wewe ni mbumbumbu na hujui hili linchi lenu linavyoendeshwa kwa mihemuko na washamba mlio wakabidhi madaraka mpaka yamewalevyaKama ndio mawazo yako basi hakuna haja ya kuwa na TCRA. Hivi watanzania tuko vipi? Yaan mnaona kabisa watu wamevunja maadili kwa uwazi na sheria zipo afu lipite kimya.? Mi binafsi nilitarajia kufutiwa leseni kabisa na TIGO kupigwa faini kwa kudhamini tamasha linaloacha tamaduni zetu.
ndo nini sasa?Natoa wito kwa watu wote kuacha kuzipuuza nyimbo za vijana wetu wa Bongo Fleva , zina mafundisho na ujumbe wa kweli sana .
Ukiusikiliza wimbo wa Baba lao uliotungwa na Diamond , ambaye ni rafiki wa Zuchu mtoto wa Hadija Kopa , utagundua kwamba nyimbo hizi za vijana wetu hawa zina mafundisho makubwa mno .
Tuendelee kuwaombea .
Wailuze basatando nini sasa?
Ni hivi , ukipiga kiberiti kichaka panya wote hutimka .ndo nini sasa?
ndo nini sasa?
Kwanza nikubali kabisa kuwa mimi MBUMBUMBU haya endelea kutoa hoja zako niko hapa kusubiri maelezo yako Boss.Nisamehe tu mkuu Kama nitakukwaza...Kaa ukijua kuwa wewe ni mbumbumbu na hujui hili linchi lenu linavyoendeshwa kwa mihemuko na washamba mlio wakabidhi madaraka mpaka yamewalevya
Asipoelewa hapa akapimwe akiliUkiona hujaelewa jua haikuhusu.
Wapinzani hawapo ulingoni saivi wanadeal na CCM wenzao wakati mbowe anabomolewa nyumba, kuharibiwa mashamba walikuwa wanacheka Sasa Ni zamu yao.
Na mtapigwa viboko sana manina, shangilia tu ila mwanao na wajukuu zako lazima watazisoma number.Natoa wito kwa watu wote kuacha kuzipuuza nyimbo za vijana wetu wa Bongo Fleva , zina mafundisho na ujumbe wa kweli sana .
Ukiusikiliza wimbo wa Baba lao uliotungwa na Diamond , ambaye ni rafiki wa Zuchu mtoto wa Hadija Kopa , utagundua kwamba nyimbo hizi za vijana wetu hawa zina mafundisho makubwa mno .
Tuendelee kuwaombea .