RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Hao TCRA itabidi wapunguziwe mamlaka, itakuwa wanatumika tu na washindani wa kibiashara wa watu.

Miezi sita as if wametangaza kupindua serikali.

Hizo ni ajira za watu na ni uwekezaji pia lazima adhabu zizingatie na hayo.
Serikali/TCRA ina mambo kibao hua inazingua lkn kwny hili niko nao pamoja kwa 100%.
 
Aiseee miezi sita ni parefu sana, TCRA waaliangalie hili upyaa. Kama ni miezi sita basi wasafi imepotea kabsa.

Kuna ajira za watu hapo na wanasomesha watoto wao sasa sijui watoto watalipwaje Ada.
No midogo sana wangepigwa miaka 4 mpk uchaguz tena
Si waliwapigia kampeni

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
TCRA imewafungia WASAFI MEDIA kwa kipindi cha miezi 6 kutofanya shughuli zao.

Hili linakuja wakati juzi uongozi wa Wasafi Media kuomba radhi kwa taifa na TCRA kufuatia kitendo cha msanii Gigy Money kucheza jukwaani akiwa amevalia mavazi yasiyo na staha mbele ya jamii jijini Dodoma.

Chanzo mwananchi.
 
Back
Top Bottom